Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

Mkuu sleee
Madai kwamba kundi la damu AB+ ni imara zaidi kuliko kundi O hayana msingi wa kisayansi. Uwezo wa mwili kukabiliana na magonjwa au mazingira hutegemea mambo mengi, pamoja na jenetiki na afya kwa ujumla. Kila kundi la damu lina jukumu lake katika mfumo wa kinga, na hakuna ushahidi wa moja kuwa imara zaidi kuliko nyingine kwa kila hali.

Labda tupate ushauri wa wataalamu zaidi humu.
Cc; Watu8
 
Ila kweli
Nikikunbuka nilivyokua mbabe,mtata,πŸ™ŒπŸ˜…πŸ˜…πŸƒ
Mungu tu kanibadirisha na utu uzima
Ilaaaa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Niliwahi kuwa na girl friend kwa jina Tayana, alianza yeye...na baadae nikaanza mimi cha moto nilikiona.
 

Naona kama jamaa kaandika kinyume, sijajua ni article ipi aliyoisoma lakini kwa jinsi ninavyofahamu kwa mujibu wa majarida mengi ya research yanaonesha watu waliona na group O ndio wapo na advantage ya kutokukumbana na madhila mengi...

Watu wenye wako na kundi A, B au AB ni magroup ambayo yana gene iitwayo ABO ambayo imekuwa kisababishi kikubwa cha vitu kama shambulio la moyo, kansa na ongezeko la rehamu kwenye damu...
 
Mtaani kuna uvumi kuwa hawa group type hii hata ukimwi hawapati hivyo wao si lazima kutumia ndom kwenye mechi za ugenini..

Je inaweza kuwa kweli hii uran ?

Ni uvumi tu...

Ngoma anapata mtu yeyote tu kama akaiwa exposed na HIV...

Isipokuwa kuna baadhi ya magonjwa kama malaria, cholera n.k ikimpata mtu wa kundi hili basi huwa sio severe...
 
πŸ™
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Niliwahi kuwa na girl friend kwa jina Tayana, alianza yeye...na baadae nikaanza mimi cha moto nilikiona.
🀣🀣🀣
Mmh hebu fafanua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…