Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana
bado kwenye kifusi cha ghorofa iliyoporomoka Kariakoo na wana imani kuwa bado yupo hai na kuomba wanaoendelea na zoezi la uokoji wasaidie kumtafta.