Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,158 Reaction score 5,626 Nov 19, 2024 #1 Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana bado kwenye kifusi cha ghorofa iliyoporomoka Kariakoo na wana imani kuwa bado yupo hai na kuomba wanaoendelea na zoezi la uokoji wasaidie kumtafta.
Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana bado kwenye kifusi cha ghorofa iliyoporomoka Kariakoo na wana imani kuwa bado yupo hai na kuomba wanaoendelea na zoezi la uokoji wasaidie kumtafta.
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 5,276 Reaction score 17,354 Nov 19, 2024 #2 Sura ya kiualimu hii ila serikali imebana ajira ikabid ajitafute kariakoo
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Nov 19, 2024 #3 Sa100 mi5 tena!