Ndugu Pole Pole, ikawaje uendelee na Press ilhali nyumbani Pana msiba?

Ndugu Pole Pole, ikawaje uendelee na Press ilhali nyumbani Pana msiba?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Najua umuhimu wa press yako sawa. Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaomboleza kwanza.

Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk.

Umelala Job, pole kwa family.

Nawasilisha 🙏
 
Au tuseme taarifa hazijakufikia?
 
Salaam!

Najua umuhumu wa press yako sawa,


Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaombokeza kwanza.

Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk.

Umelala Job, pole kwa family.

Nawasilisha 🙏



So leo ww na familia yako hata kula hamjala because ya msiba?

Au hapo nyumbani kwako wote mnalia na kuomboleza
 
So leo ww na familia yako hata kula hamjala because ya msiba?

Au hapo nyumbani kwako wote mnalia na kuomboleza
Nyumbani kwangu panajadiliwa agenda za kifamilia au za kitaifa?
 
Wahuni mmetengeneza msiba ili Polepole asiongee
 
Salaam!

Najua umuhumu wa press yako sawa,

Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaomboleza kwanza.

Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk.

Umelala Job, pole kwa family.

Nawasilisha 🙏
Watanzania, na sio watanzania kama ulivyoandika.
 
Salaam!

Najua umuhumu wa press yako sawa,

Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaomboleza kwanza.

Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk.

Umelala Job, pole kwa family.

Nawasilisha 🙏
Unafuata tamaduni kwenye mambo ya msingi tumia akili...ukiwa na watoto wawili wakapata ajali mmoja akafa mwingine akawa maututi utashugulika na nini zaidi ?...msiba au kuokoa maisha ya aliye maututi ...Ndiyo maana Yesu alimwambia yule mwanafunzi ..."waache wafu wazike wafu wao " maana yake Yesu alimwambia kupigania wokovu ni muhimu kuliko kuzika wafu.
 
Wapi mliomboleza vifo vya watu waliotekwa?
Au wao hawakuwa binadamu?

Kila Mtu ataomboleza linalomhusu..
 
Back
Top Bottom