Hatujafika huko.Kifo ni kifo
Salaam!
Najua umuhumu wa press yako sawa,
Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaombokeza kwanza.
Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk.
Umelala Job, pole kwa family.
Nawasilisha π
Kifo ni kifo....Polepole kasema gani leo?Au tuseme taarifa hazijakufikia?
Nyumbani kwangu panajadiliwa agenda za kifamilia au za kitaifa?So leo ww na familia yako hata kula hamjala because ya msiba?
Au hapo nyumbani kwako wote mnalia na kuomboleza
Moja na mbili yote SI majibu.Hapo kuna mawili: 1)huwenda hajapata taarifa 2) Msiba hamuhusu.
hyo sio vibaya nawewe ukajazia.Moja na mbili yote SI majibu.
Ongeza no3.
Kumbe msiba pia huwa unatengenezwa!Wahuni mmetengeneza msiba ili Polepole asiongee
Waulize wahuni lengo la kuwamaliza cycle ya wazalendo ni nini?Kumbe msiba pia huwa unatengenezwa!
Uliwahi kutengeneza mmoja?
Watanzania, na sio watanzania kama ulivyoandika.Salaam!
Najua umuhumu wa press yako sawa,
Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaomboleza kwanza.
Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk.
Umelala Job, pole kwa family.
Nawasilisha π
Unafuata tamaduni kwenye mambo ya msingi tumia akili...ukiwa na watoto wawili wakapata ajali mmoja akafa mwingine akawa maututi utashugulika na nini zaidi ?...msiba au kuokoa maisha ya aliye maututi ...Ndiyo maana Yesu alimwambia yule mwanafunzi ..."waache wafu wazike wafu wao " maana yake Yesu alimwambia kupigania wokovu ni muhimu kuliko kuzika wafu.Salaam!
Najua umuhumu wa press yako sawa,
Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaomboleza kwanza.
Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk.
Umelala Job, pole kwa family.
Nawasilisha π