Ndugu Rhimo Simeon Nyansaho Mkurugenzi mpya PSSSF mtazame vizuri huyo mhasibu hapo ofisini

Hicho kitengo cha Huduma kwa wateja HQ ndicho kinara wa kutapeli wanufaika wa mfuko huo.

Kuna mzee alipiga hiyo namba ya ofisi kuelezea changamoto aliyokuwa anapitia,akasikilizwa na baadaye kidogo akapigiwa na namba isiyo ya ofisi na mtu aliyejitambulisha kuwa afisa hapo PSSSF akiwa na taarifa zote muhimu za mstaafu huyo na kwamba et anataka amsaidie kutatua shida yake ila anataka atumiwe pesa.

Hicho kitengo pamejaa wezi,polisi wa nchi hii nao kitengo cha cybercrime hakuna rasilimali watu,PPP inahitajika huko.

Namba za simu za huyo tapeli wanazo na control namba ya mchongo aliyotoa tapeli wanayo ikiwa na majina matatu lakini hadi leo kimya.
 
Kabisaa kuna utapeli mkubwa sana huwa unaendelea huko. Eti unashangaa namba ngeni inakupigia inafahamu hadi check Number yako na kukueleza file lilipofikia lakini kumbe ni matapeli. TAKUKURU mko wapi kwenye hizi sekta nyeti??
 
Hicho kitengo cha Huduma kwa wateja HQ ndicho kinara wa kutapeli wanufaika wa mfuko huo.

Kuna mzee alipiga hiyo namba ya ofisi kuelezea changamoto aliyokuwa anapitia,akasikilizwa na baadaye kidogo akapigiwa na namba isiyo ya ofisi na mtu aliyejitambulisha kuwa afisa hapo PSSSF akiwa na taarifa zote muhimu za mstaafu huyo na kwamba et anataka amsaidie kutatua shida yake ila anataka atumiwe pesa.

Hicho kitengo pamejaa wezi,polisi wa nchi hii nao kitengo cha cybercrime hakuna rasilimali watu,PPP inahitajika huko.

Namba za simu za huyo tapeli wanazo na control namba ya mchongo aliyotoa tapeli wanayo ikiwa na majina matatu lakini hadi leo kimya.
Watu wapo wanafanya uhalifu na wanadunda
 
Back
Top Bottom