Hicho kitengo cha Huduma kwa wateja HQ ndicho kinara wa kutapeli wanufaika wa mfuko huo.
Kuna mzee alipiga hiyo namba ya ofisi kuelezea changamoto aliyokuwa anapitia,akasikilizwa na baadaye kidogo akapigiwa na namba isiyo ya ofisi na mtu aliyejitambulisha kuwa afisa hapo PSSSF akiwa na taarifa zote muhimu za mstaafu huyo na kwamba et anataka amsaidie kutatua shida yake ila anataka atumiwe pesa.
Hicho kitengo pamejaa wezi,polisi wa nchi hii nao kitengo cha cybercrime hakuna rasilimali watu,PPP inahitajika huko.
Namba za simu za huyo tapeli wanazo na control namba ya mchongo aliyotoa tapeli wanayo ikiwa na majina matatu lakini hadi leo kimya.