Ndugu Sostenes Malimi, ndo uliyeagiza JF ifungiwe?

Ndugu Sostenes Malimi, ndo uliyeagiza JF ifungiwe?

Tuambieni huyu ndugu Sostheness Malimi ni nani na sisi tumjue maana watu kama hawastahili kupewa hata huduma ya Uber
 
Tumbie huyu ndugu Sostheness Malimi ni nani na sisi tumjue maana watu kama hawastahili kupewa hata huduma ya Uber
Ni Mkuu wa Kituo cha kutunza Data Kimtandao-NIDC (National Internet Data Centre).

IMG_0145.jpeg

IMG_0146.jpeg

Kwa tunaomjua tunasubiri kuona hatma yake
 
Sasa amefaidika na nini?....malumpen kama haya yapo mengi sana serikalini....
 
Sura yake tu ni picha tosha jinsi gani ana roho mbaya
 
Back
Top Bottom