Ndugu tumsaidie mjasiriamali huyu anauza Nyumba yake.

Ndugu tumsaidie mjasiriamali huyu anauza Nyumba yake.

Bizney

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
454
Reaction score
48
Ni mama mjasiliamali alikopa EFC bank tsh. 10m akiwa namwenzake, yeye ndiye aliyeingia dhamana bank kwa jina lake. wamelipa marejesho matano bado 5.5m ananyumba UKonga Moshi bar thamani ya kiwanja ni 14 Milioni lakini sasa ana uza 20 Milioni hitaji walau apewe kiasi alipe deni nyingine alipwe kidogokidogo. nyumba ni mpya haijaisha. kwa mawasiliano 0773 944 944
 
Mkuu konga moshibar ni wapi? Pia ni vyema kama ungeweka picha na dimension za kiwanja
 
Mkuu konga moshibar ni wapi? Pia ni vyema kama ungeweka picha na dimension za kiwanja

Mkuu ni maeneo ya Airport Dar es salasm baada ya gereza la ukonga ambalo liko wilaya ya Ilala.
 
Back
Top Bottom