Ndugu wa Agness Masogange wamsubiri mahakamani bila mafanikio

Ndugu wa Agness Masogange wamsubiri mahakamani bila mafanikio

Loh hivi hawa watoto watamu watamu wanaoshawishi ni kabila gani



Sizonjemadawa
 
Kusema ukweli aliyeturoga sisi Watanzania alaaniwe

Yaani akili zetu zimegoma kufikiria mambo mengine.....kila jambo tunalinasibisha na mambo ya kipuuzi...........
Hatifikirii kitu cha maana....ni vitu vya hovyo tu
 
sasa mbona ni hizi hizi vunja shingo ndio umelenga kama sio makusudi ni nini ?
 
Back
Top Bottom