Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafa kwa UKIMWI

Wanajikanyaga mno jioni hii kwny kipindi cha clouds watu wake wa karibu wamesem aliugua kwa mwez mmoja na nusu

But hata huyo prod hajafany poa
 
Wanajikanyaga mno jioni hii kwny kipindi cha clouds watu wake wa karibu wamesem aliugua kwa mwez mmoja na nusu

But hata huyo prod hajafany poa
Nadhani ifikie stage mambo yawe wazi wasanii Wanakufa Sana na Ukimwi mambo yawe Sawa pengine wanaweza wakabadilika. Kidogo
 
Clinically ukimwi haujwahi kuua mtu...Bali magonjwa nyemelezi hivyo hata kama alikuwa na HIV hii haimaanishi Sam kafariki kwa HIV....sababu HIV kazi yake ni kupambana na kushusha kinga ya mwili then magonjwa nyemelezi kitaalamu wanaita opportunists disease ndio yanaua kama maralia, mafua, amiba, typhod e.t.c and not HIV.

Kwa hiyo mshkaji kafariki kwa maralia na sio ukimwi na ukimwi hajawahi kuua mtu hata siku moja kwa hili tusiusingizie.

Marehemu Sam amekufa Kwa maralia na UTI na sio HIV.

Hope you are in better place Sam.

Tangulia Sam, tunakuja!
 
Kwani kufa na ukimwi ni kitu cha ajabu africa hii?
 
Wanajikanyaga mno jioni hii kwny kipindi cha clouds watu wake wa karibu wamesem aliugua kwa mwez mmoja na nusu

But hata huyo prod hajafany poa
kwa upeo wake wa kufikiri aliona kuwa amefanya poa "" Mkuu.."" mtu timamu hawezi kutoa kauli kama ile wakati "" mtu bado yupo hospital "" alipaswa kusema daktari kilichomuua Sam "" nikipi " nasio yeye""....
 
Kifo cha Sam wa ukweli kinanitatanisha sana hasa kwa hizi media kupiga nyimbo zake baada ya kufa wakati alivyokuwa hai tulikuwa hatusikii kama sio unafiki ni nini?
kweli kk nakwambia Hakuna watu wanafiki na wazandiki kama WATANZANIA dunia hii zunguka kote hilutaona zaid ya TANZANIA yaan jamaa alkua na hit songs sana lkn cja ajabu hakuna media ilokua ikipiga nyimbo zake.ola leo hii kila media inapiha nyimbo zake baad ya kufarik hii ni umajinuni mkubwa sana ata Jide alishasemaga akifa ndio utaskia wanapga nyimbo zake
 
Kifo cha Sam wa ukweli kinanitatanisha sana hasa kwa hizi media kupiga nyimbo zake baada ya kufa wakati alivyokuwa hai tulikuwa hatusikii kama sio unafiki ni nini?
Hakuna watu wanafiki kama raia wa Tanzania. Nishakataa na haitatokea kuwa na kapani na Watanzania huku niliko
 
Imani potofu za kijinga na kipumbavu tu.

Uchawi haupo!

Ungekuwepo basi mimi ningekuwa nimesharogwa zamani sana maana wanaopenda nitokewe na mabaya ni wengi!
Uchawi upo hata vitabu vya dini vimeweka wazi ila cha muhimu usiuamini wala kuusujudia_ upe kisogo na wenyewe utakupa kisogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…