Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafa kwa UKIMWI

Ndugu wa marehemu Sam wa Ukweli wamlaani aliyesema kafa kwa UKIMWI

we ulieish zote una nn??? tuache ubazazi bhna tupo ktk kipind cha majonz karibu SA
Cjasema nimeishi nchi zote... kuna watu wa mbele mi nimewajua baada ya wao kudanki....SA ntakaribia muda si muda
 
Naamini katika usawa wa binadamu, haki kwa wote, uadilifu, na mengineyo.

Lakini siamini katika usasili hata kidogo!
Aiseeh_ Basi sawa Mkuu.. Una point lakini Nina point Zaidi za kuniridhisha kuwa lazima kuna kitu kinaitwa Mungu Kwa namna yoyote ile na visa vya Uchawi vipo na vinaogofya. Imani ni kipimo kikuu cha ushindi na inavyoonekana Imani yako imekuepusha na mengi_
 
Cjasema nimeishi nchi zote... kuna watu wa mbele mi nimewajua baada ya wao kudanki....SA ntakaribia muda si muda
poa ucjali.ila umeona umuhimu wa kukaa na watu wa mataifa?? unawajua tabia zao kiundan na namn ya kuish nao
 
poa ucjali.ila umeona umuhimu wa kukaa na watu wa mataifa?? unawajua tabia zao kiundan na namn ya kuish nao
Ndo hivyo mkubwa..pia kuna baadhi ya mambo unajifunza toka kwao...
Bst wshs [emoji113] [emoji113] [emoji113]
 
  • Thanks
Reactions: Gef
Clinically ukimwi haujwahi kuua mtu...Bali magonjwa nyemelezi hivyo hata kama alikuwa na HIV hii haimaanishi Sam kafariki kwa HIV....sababu HIV kazi yake ni kupambana na kushusha kinga ya mwili then magonjwa nyemelezi kitaalamu wanaita opportunists disease ndio yanaua kama maralia, mafua, amiba, typhod e.t.c and not HIV.

Kwa hiyo mshkaji kafariki kwa maralia na sio ukimwi na ukimwi hajawahi kuua mtu hata siku moja kwa hili tusiusingizie.

Marehemu Sam amekufa Kwa maralia na UTI na sio HIV.

Hope you are in better place Sam.

Tangulia Sam, tunakuja!
noted mkuu
 
Aiseeh_ Basi sawa Mkuu.. Una point lakini Nina point Zaidi za kuniridhisha kuwa lazima kuna kitu kinaitwa Mungu Kwa namna yoyote ile na visa vya Uchawi vipo na vinaogofya. Imani ni kipimo kikuu cha ushindi na inavyoonekana Imani yako imekuepusha na mengi_
aisee stooopppp it yatosha tuko kwenye maombolezo jamani
 
Mbona kwenye wimbo wake amesema wazi amekufa na ukimwi? hata hivyo producer ameeleza alicho ambiwa na marehemu kuwa ana ukimwi wa kurogwa....
Hao ndugu badala ya kumshauri kutumia dawa wao wakampeleka kwa mganga wajinga hawa
 
Back
Top Bottom