the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
Ndugu wa mbali Hawana Unafiki kwa kuwa ukk nao mbali, Unafiki sio suala Ukaribu wala Umbali, ni Hulka na Tabia ya Mtu, Shukuru walio Karibu yako umewafahamu vema zaidi, Pengine wale wa mbali siku ukiwajua vema unaweza Kuona ahueni ya hawa walio karibu.Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!!
Na asilimia kubwa ukiishi na ndugu wakaribu lazima maneno ya kinafki yanatokea sana japo sio wote ila asilimia kubwa hutokea hvyo.
Tena ukute ndugu mnafk nae anamke ambae anakichwa km ya nguruwe ndio utaelewa nn nimemaanisha
Waadha Assalm Alyekum
Si wapo karibu wanakuona ulivyo ndezi ndo maana wanakupotezea kiaina wale wa mbali hawaoni undezi wako so heshima lazima iwepo
Watu wengine bhana mnataka sisi ndugu tuwanyenyekee kwani nyie Mungu .. Mambo hayo fanya na majirani zako
Inategemea na familia na makuzi ndani ya hiyo familiaKwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!!