Ndugu wahandisi wa majengo na barabara, natafuta kazi

Ndugu wahandisi wa majengo na barabara, natafuta kazi

JOESKY

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
816
Reaction score
2,034
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndugu zangu niko hapa kuomba nafasi ya kuunganishwa mradi wowote wa ujenzi ili niweze kupata kazi ya kibarua sina taaluma ya uhandisi mimi ni mwalimu ila mambo yamekuwa magumu sana nisaidieni nipate kibarua.

Kwa kifupi hali si nzuri naamini humu kuna wahandisi wengi tu wenye connections nisaidieni tafadhali.

Napatikana Mbeya mjini tafadhali kwa mawasiliano nawakaribisha PM.

Pia ninaweza kufanya kazi zifuatazo:

*Kufanya biashara ya mtandaoni (online marketing na ku operate pages za kibiashara)

*Sales and Marketing

*Research

Nina miaka 30

Sijaoa

Nina shahada ya ualimu BaEd

Nawatakia jumapili njema.

TUINUANE NDUGU ZANGU MAISHA MAKALI
 
Mbeya cikuna shuhuli za kilimo kwa nn usitafute kwenye maeneo wanayolima Sana..
 
Back
Top Bottom