Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kumbe Kuna ya vidongeHakuna madhara. Lakini pia kama una kuku wengi tumia Ile ya unga(kidonge) ya kuweka kwenye maji kuku wanakunywa Kwa masaa2 Kisha unamwanga inaokoa muda kuliko kutumia masaa zaidi ya3.
MFANO tu ni ngumu kuchanja Kwa njia ya matone kuku500 ama zaidi itakuchukua muda mrefu sana.
Pia Chanjo ni baada ya miezi3 kama unaishi hasa kijijini sehemu isiyokuwa na mwingiliano wa kuku kutoka sehemu tofauti tofauti. Lakini kama ni mjini/ Senta chanja Kila baada ya miezi2 tu
katika ununuzi wako wa vifaranga nunua sehemu moja ikibidi kutoka kampuni au mtu anayefuata taratibu za ufugaji vyema epuka kununua kuku kwa mfungumagungu kisha kuwachanganya sehemu mojaOoh sawa Asante
Pitia hapa piaKuna njia za kuwaogesha ng'ombe bila kuwa na josho la kutumbukia?
Naona eneo kubwa la kujenga josho ni matumizi mabaya kwa ardhi niliyopata.
Nguruwe Huwa tunawaogesha ki kawaida tu.
Eee zipo. Zina bei kidogo huku huuzwa 15kSawa kumbe Kuna ya vidonge
Hujasema ni kuku gani wanaotakiwa kupewa pilipili kichaa. Je ni sawa kuwapa hawa kuku wageni i.e broiler?Pilipili kichaa.
Pondaponda kiasi kisha changanya na maji na wawekee kuku wawe wanakunywa muda wowote
Hutibu na kukinga....
Hii ni Kinga ya kideri/mdondo.
Hutibu mafuta hasa ukichanya na bapa la mkonge likipondwa pondwa na kuchanganywa.
View attachment 3195232
Hizi ni Moja wapo ya aina ya pilipili kichaa lakini og ni vile vidogovidogo sana ukipata hivyo Kwa kwenye Lita Moja ya maji weka5 tu hizi weka Saba Hadi 10.
hapana na usijaribu kuku wako wa broiler wanasumbuliwa na tatizo gani kwaniHujasema ni kuku gani wanaotakiwa kupewa pilipili kichaa. Je ni sawa kuwapa hawa kuku wageni i.e broiler?
Sijawahi Fuga broiler lakini na Imani Haina madhara.Hujasema ni kuku gani wanaotakiwa kupewa pilipili kichaa. Je ni sawa kuwapa hawa kuku wageni i.e broiler?
Tuelimishe mkuu Kuna shida?hapana na usijaribu kuku wako wa broiler wanasumbuliwa na tatizo gani kwani
broiler atamchanganya ndugu kuku wa broiler ni one mistake one goalSijawahi Fuga broiler lakini na Imani Haina madhara kabisa.
Si shauri kuku kama broiler ujikite kwenye dawa Asili maana wao ni dhaifu sana kwenye kinga zao za mwili. Ni vyema ukienda direct kununua dukani.
hawa kuku haitaji shuruba kabisaTuelimishe mkuu Kuna shida?
Najua hii kuwa Wana weakness sanabroiler atamchanganya ndugu kuku wa broiler ni one mistake one goal
Lily TonyNapenda kujua shamba la Ekari 50 kabla hujapanda unatumia mbolea ya samadi au hata ya madukani inatosha...?
Kama ni samadi na eneo hilo hakuna ya samadi shamba linaweza kufanya vizuri wakuu...?
Na pia, natakiwa kupitisha tractor na kuacha shamba litulie ndio nipande au naweza kupitisha tractor na kupanda kwa wakati mmoja ilhali mvua bado hazijaanza...?
Na kama napitisha tractor then nasubiria lipoe ndio nipande, natumia tractor kupandia au nguvukazi...? Najua kuna plante ila inaweza ikaongeza gharama za uzalishaji, hapo imekaaje wadau...?
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu. Ahsante sana.
Sehemu ya kulima ni Simanjiro mkoani Manyara.
Shukran.
Kwanza asante kwa mualiko huu mkuu.Mkuu Lily Tony tunaomba msaada wako kwenye hayo maswali kiongozi. Shukran.