Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
ulitumia dawa ganiYaani Jana na juzi kuku wangu wengi wamekufa,walikuwa wanatoa kinyesi cheusi,kijani na cheupe.
Walikuwa wanakohoa au kutoa sauti kubwa ,wanatoa maji maji yanayovutika km kamasi.
Nikafikiri Ni mafua nikanunua dawa ya mafua,jamani jamani,wamekufa wa kutosha.
Sasa inabidi nitafute elimu sahihi ya ufugaji,Asante boss,naamini nitajifunza mengi humu
Tuna mkuuAhsante, fanya ivyo Mkuu uzipige picha nione, maana wengi wanazichanganya,kuna moja nimepiga picha toka kwa jirani,nitaituma umu uione,mungu akipenda.
Ahsante naifahamu na nimeipanda nje!Mkuu ndo hiyo picha,ya pili pili kichaa,hapo juu.
Aisee, I wish ningekuwa karibu tatizo nalimia Simanjiro Mkuu. Dodoma sehemu gani mkuu...? Ni samadi ya ng'ombe au...?Sema inategemea na Sehemu hapa Dodoma samadi zipo za kwa kumwaga mpaka zinachomwa!
Ng'ombe mkuu!Aisee, I wish ningekuwa karibu tatizo nalimia Simanjiro Mkuu. Dodoma sehemu gani mkuu...? Ni samadi ya ng'ombe au...?
Aisee safi sana na Kilimo huko kipoje kiongozi...?Ng'ombe mkuu!
Kwa ujumla ardhi ya Dodoma Bado inarutuba sana,shida mvua,kwa waliochimba visima na kumwagilia inawalipa sana!Aisee safi sana na Kilimo huko kipoje kiongozi...?
Vipi kwa mazao yanayovumilia ukame kwa mfano Dengu, Mbaazi nk...!Kwa ujumla ardhi ya Dodoma Bado inarutuba sana,shida mvua,kwa waliochimba visima na kumwagilia inawalipa sana!
Kimsingi hizi zote ni pilipili kichaa wala haina ubishi kama ilivyo zoeleka.Lakini zipo ndogo zaidi ya hizo fupi na nyembemba. hizi na zingine zote zinaitwa pilipili kicha .
Dengu haihitaji mvua mkuu. mbaazi yenyewe inahitaji mvua ya wastani.Vipi kwa mazao yanayovumilia ukame kwa mfano Dengu, Mbaazi nk...!
Mkuu kuna jamaa anao kakola nitakuunga nae akupe abc alipata wapi yeye.Natafuta nguruwe wa kisasa wadogo wadogo nifuge KAHAMA
Thanks mkuuKimsingi hizi zote ni pilipili kichaa wala haina ubishi kama ilivyo zoeleka.Lakini zipo ndogo zaidi ya hizo fupi na nyembemba. hizi na zingine zote zinaitwa pilipili kicha .
Okay, ina maana Dengu inastawi popote ambapo inapandwa au itategemea na ardhi/udongo...?Dengu haihitaji mvua mkuu. mbaazi yenyewe inahitaji mvua ya wastani.
Degu inakubali kwenye mbuga(udogo mweusi) haipendi kabisa mvua iwapo maji yatwatuama kwa siku nzima ama mbili tegemea hasara ya shamba lote. Hupandwa mwishoni mwa msimu kama huku kanda ya ziwa huanza kupanda mwezi wa4 nkOkay, ina maana Dengu inastawi popote ambapo inapandwa au itategemea na ardhi/udongo...?
Mkuu dagaa nusu ndoo kilo 2?Duu .hapo hutoboi asee....maana debe lina kg 10*10= 100kg
Shudu 1*12= 12 kg
Dagaa 0.5 ndoo= 2kg
Huu mchanganyo haufai kwa kuku wa mayai....jitahidi upate mchanganyo mzuri.
Aisee ni kweli kabisa niliona Kondoa mkuu.Degu inakubali kwenye mbuga(udogo mweusi) haipendi kabisa mvua iwapo maji yatwatuama kwa siku nzima ama mbili tegemea hasara ya shamba lote. Hupandwa mwishoni mwa msimu kama huku kanda ya ziwa huanza kupanda mwezi wa4 nk