WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Ukiidharau familia yako basi Jiandae ulimwengu kudharau....familia zinaheshimiwa tu,,,Omba yasikukute mkuu familia yako iwe mstari wa mbele kutaka upotee hayo mambo yasikie tu kwa jirani.
Ndugu ambao hawaridhiki na kutosheka na unacho wapa si utakufa masikini wwUkiidharau familia yako basi Jiandae ulimwengu kudharau....familia zinaheshimiwa tu,,,
Elewa kuna masikini na matajiri ktk ndugu na kitu kinawaunganusha ni heshima na upendo
Usije ukabarikiwa Leo then ukajiona mkubwa kuliko ndugu na familia...
Mwakinyo na Pogba sio mifano mizuri....wanastahili wanachopitia....ni mfumo tu.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ufanye kufuru za matumizi afu useme ndugu zako hawaliziki na kutosheka!?Ndugu ambao hawaridhiki na kutosheka na unacho wapa si utakufa masikini ww
Hao ni ndugu lawama...Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kazi iendelee.
Damu nzito kuliko maji ndio msemo maarufu unaolezea uzito na ukaribu wa ndugu wa damu lakini msemo huo ni tofauti na dunia ya sasa.
Wakati kule ulaya Paul Pogba akitofautiana na ndugu zake na huku Tanzania Hassan Mwakinyo mashabiki na ndugu zake wakiwa mstari wa mbele kuhakikisha anarudi tena kazi yake ya kunyaa pale kasera jijini tanga. Kwa ambao sio wenyeji wa tanga kunyaa ni kitendo cha kwenda kudowea samaki wa wavuvi baada ya wao kurudi baharini na kuwauza kazi aliyokuwa akiifanya kabla ya kuwa professional boxer.
Paul pogba alipotofautiana na ndugu zake kwa tabia yao ya kuomba omba hela kila wakati na Pogba kuichoka hali hiyo walianza kumzushia skendo nyingi ikiwemo kaka yake wa damu kudai kwamba Paul Pogba anaroga sana ili afanikiwe kwenye soka na hata kwenye France national team alikuwa akiwaroga wenzake akiwemo Kylian Mbape.
Hawakuishia hapo hapo bado waliendelea kumwandama huku mama yao mzazi akiwa upande wa watoto wake wengine licha ya Paul Pogba kumsaidia kila anapohitaji msaada na kuwa nae bega kwa bega katika kila hatua.
Kwa hali ilivyo inaonekana wameshafanikiwa kummaliza Paul kwasababu mpaka sasa anakabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kusisimua misuli ambayo adhabu yake inaweza kuwa kifungo cha miaka minne kujihusisha na masuala ya mpira.
Paul Pogba alinukuliwa karibuni kwenye moja ya interview kwamba anatamani angekuwa mtu wa kawaida maana hana furaha na hafurahii kuwa star kwa sasa baada ya kutofautiana na familia yake kwasababu ya pesa.
Hassan Mwakinyo international boxer aliyeipeleka tasnia ya ngumi katika hadhi ya juu na kuwafanya mashabiki kurudisha morali ya kukesha mpaka usiku kusubiria ngumi vita aliyopigwa ni kubwa sana baada ya kuwa juu kwenye masumbwi wakiwemo watu wa karibu na mashabiki ambao walitaka ili athibitishe ukubwa wake lazima apigane na Twaha Kiduku na wengi kudai anamuogopa maana hamuwezi Twaha.
Lakini licha ya Mwakinyo kukataa bado waliendeleza shauku yao ya kuwaona wawili hao wanapanda ulingoni pamoja. Mashabiki ni kawaida kuwasema mastaa wao wanavyotaka lakini inapotokea kwa familia inashangaza sana.
Ni juzi tu hapa shirikisho la ngumi limetoa tamko la kufungiwa kwa Mwakinyo kwenye tasnia ya masumbwi kwa mwaka mmoja baada ya kugoma kupanda ulingoni lakini nilishangaa kuona kaka yake wa damu kumsema na kumkana mdogo wake badala ya kumtetea baadae ikajulikana kwamba wawili hao wana ugomvi wa muda mrefu mpaka kufikia hatua ya wawili hao kila mmoja kutamka asihudhurie kwenye msiba wa mwenzake inasikitisha sana.
kumbuka kaka yake mwakinyo ndio alikuwa kocha wake na manager wake wakati Mwakinyo anaanza safari ya masumbwi ila walikuja kutofautiana kwasababu ya maslahi na ugomvi visasi na chuki vilianzia hapo mpaka juzi hatima yake ilipotimia walimtafuta muda mrefu sana.
Hii ndio Africa ukifanikiwa unachukiwa na ndugu na watu wa karibu kama ilivyotokea kwa Samata kipindi fulani, ndugu bwana hasa wa Africa tuna shida sana.
Mungu awasimamie Paul Pogba na Hassan Mwakinyo maana ndio pekee aliyebaki wa kuwaokoa kwa mnayopitia, maana mashabiki wana furahia, ndugu zenu wanafanya party na kusherehekea lakini Mungu aliyemsaidia Yusuph baada ya ndugu zake kutaka kumteketeza atawasimamia na nyinyi Dunia imegeuka upande wenu, umaarufu wenu umekuwa shubiri badala ya asali.
Alamsik.
Inaonekana hufuatilii vitu mkuu na Adebayor naye alivyojitoa kwa ndugu mwisho wa siku hakuna alichoambulia zaidi ya matusi kutoka kwa ndugu.Ufanye kufuru za matumizi afu useme ndugu zako hawaliziki na kutosheka!?
Pesa siku zote hazitoshi....endelea kutoa kadiri unavyobarikiwa..
Tena wawezeshe wajitegemee....hutoona iyo kadhia ya kina Mwankinyo ya kujiona Bora huko hamna kitu...
Pogba ni mshenzi tu...ngoja mkewe mzungu achukue chake ndoa iivunjika, ndio utaelewa kuwa ...kuwekeza kwa ndugu na familia ni muhimu kuliko Anasa za Maisha ya kinyamwezi.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Kuna sehemu nmesema nashindana nae? Mashoga mnapenda kushindanaHuna chochote cha kushindana na mwakinyo zaidi ya kalio la kuendea chooni na kukaa kwa shemejio
Ume leta uzi unatulazimisha tuchangie unavyo taka wewe ungekaa nao chumbaniNi kweli maana manara alisema wenye akili ni wawili na yule ni mwenzenu.
Wahenga walisema "Kikulacho Kinguoni Mwako". Hali ndivyo ilivyo kwenye familia nyingi za Africa, mwanafamilia akifanikiwa wataanza kumsema Kwa kila maneno kuwa Hanamsaada hata kama amewasaidia. Ogopa sana ndugu kujua mipango yako. Wenzetu waarabu, wahindi, wachina na wazungu Kwa ujumla akifanikiwa mmoja wanamsapoti na wanakuwa kitu kimoja.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kazi iendelee.
Damu nzito kuliko maji ndio msemo maarufu unaolezea uzito na ukaribu wa ndugu wa damu lakini msemo huo ni tofauti na dunia ya sasa.
Wakati kule ulaya Paul Pogba akitofautiana na ndugu zake na huku Tanzania Hassan Mwakinyo mashabiki na ndugu zake wakiwa mstari wa mbele kuhakikisha anarudi tena kazi yake ya kunyaa pale kasera jijini tanga. Kwa ambao sio wenyeji wa tanga kunyaa ni kitendo cha kwenda kudowea samaki wa wavuvi baada ya wao kurudi baharini na kuwauza kazi aliyokuwa akiifanya kabla ya kuwa professional boxer.
Paul pogba alipotofautiana na ndugu zake kwa tabia yao ya kuomba omba hela kila wakati na Pogba kuichoka hali hiyo walianza kumzushia skendo nyingi ikiwemo kaka yake wa damu kudai kwamba Paul Pogba anaroga sana ili afanikiwe kwenye soka na hata kwenye France national team alikuwa akiwaroga wenzake akiwemo Kylian Mbape.
Hawakuishia hapo hapo bado waliendelea kumwandama huku mama yao mzazi akiwa upande wa watoto wake wengine licha ya Paul Pogba kumsaidia kila anapohitaji msaada na kuwa nae bega kwa bega katika kila hatua.
Kwa hali ilivyo inaonekana wameshafanikiwa kummaliza Paul kwasababu mpaka sasa anakabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kusisimua misuli ambayo adhabu yake inaweza kuwa kifungo cha miaka minne kujihusisha na masuala ya mpira.
Paul Pogba alinukuliwa karibuni kwenye moja ya interview kwamba anatamani angekuwa mtu wa kawaida maana hana furaha na hafurahii kuwa star kwa sasa baada ya kutofautiana na familia yake kwasababu ya pesa.
Hassan Mwakinyo international boxer aliyeipeleka tasnia ya ngumi katika hadhi ya juu na kuwafanya mashabiki kurudisha morali ya kukesha mpaka usiku kusubiria ngumi vita aliyopigwa ni kubwa sana baada ya kuwa juu kwenye masumbwi wakiwemo watu wa karibu na mashabiki ambao walitaka ili athibitishe ukubwa wake lazima apigane na Twaha Kiduku na wengi kudai anamuogopa maana hamuwezi Twaha.
Lakini licha ya Mwakinyo kukataa bado waliendeleza shauku yao ya kuwaona wawili hao wanapanda ulingoni pamoja. Mashabiki ni kawaida kuwasema mastaa wao wanavyotaka lakini inapotokea kwa familia inashangaza sana.
Ni juzi tu hapa shirikisho la ngumi limetoa tamko la kufungiwa kwa Mwakinyo kwenye tasnia ya masumbwi kwa mwaka mmoja baada ya kugoma kupanda ulingoni lakini nilishangaa kuona kaka yake wa damu kumsema na kumkana mdogo wake badala ya kumtetea baadae ikajulikana kwamba wawili hao wana ugomvi wa muda mrefu mpaka kufikia hatua ya wawili hao kila mmoja kutamka asihudhurie kwenye msiba wa mwenzake inasikitisha sana.
kumbuka kaka yake mwakinyo ndio alikuwa kocha wake na manager wake wakati Mwakinyo anaanza safari ya masumbwi ila walikuja kutofautiana kwasababu ya maslahi na ugomvi visasi na chuki vilianzia hapo mpaka juzi hatima yake ilipotimia walimtafuta muda mrefu sana.
Hii ndio Africa ukifanikiwa unachukiwa na ndugu na watu wa karibu kama ilivyotokea kwa Samata kipindi fulani, ndugu bwana hasa wa Africa tuna shida sana.
Mungu awasimamie Paul Pogba na Hassan Mwakinyo maana ndio pekee aliyebaki wa kuwaokoa kwa mnayopitia, maana mashabiki wana furahia, ndugu zenu wanafanya party na kusherehekea lakini Mungu aliyemsaidia Yusuph baada ya ndugu zake kutaka kumteketeza atawasimamia na nyinyi Dunia imegeuka upande wenu, umaarufu wenu umekuwa shubiri badala ya asali.
Alamsik.
Huu uzi ni wa Yanga au Mwakinyo na Pogba? kuna sehemu nmetaja Yanga? tuliza muwashoHapa ulipo ni chumbani umefungua ndio maana umeuona najua mashabiki wa yanga mna hasira kwasababu hamuongozi league
Acha nadharia za kiduanzi mkuu. Ndugu zetu ukiwa nacho wanataka uwasaidie kila siku, kila saa, kila kitu.Ukiidharau familia yako basi Jiandae ulimwengu kudharau....familia zinaheshimiwa tu,,,
Elewa kuna masikini na matajiri ktk ndugu na kitu kinawaunganusha ni heshima na upendo
Usije ukabarikiwa Leo then ukajiona mkubwa kuliko ndugu na familia...
Mwakinyo na Pogba sio mifano mizuri....wanastahili wanachopitia....ni mfumo tu.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Tenda wema usingoje shukrani........msemo huu una maana kubwa ktk kuishi na watu, ndugu, hata na familia ....Acha nadharia za kiduanzi mkuu. Ndugu zetu ukiwa nacho wanataka uwasaidie kila siku, kila saa, kila kitu.
Wako sahihi sana. Kipindi unasaidia ndugu hapohapo watakusifia huku mioyo inawafukuta kwa nn wewe. Ukianguka wanafanya sherehe.....
Potelea mbali na ndugu wa hivi
Mtu anae mtetea Mwakinyo ana shida kichwaniVisingizio vimekuwa vingi huyo muhuni tu
Hata kule uingereza alipofungiwa nako walimhujumu?
Mwakinyo, kwanza hana adabu, hashauriki nk. Nk. Nakumbuka, alishapewa ushauri na Matumla, tena kwa nia nzuri, alivyojibiwa, hana hamu! Haji Manara, anazo salamu zake!Mtu anae mtetea Mwakinyo ana shida kichwani