WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Ukiidharau familia yako basi Jiandae ulimwengu kudharau....familia zinaheshimiwa tu,,,Omba yasikukute mkuu familia yako iwe mstari wa mbele kutaka upotee hayo mambo yasikie tu kwa jirani.
Elewa kuna masikini na matajiri ktk ndugu na kitu kinawaunganusha ni heshima na upendo
Usije ukabarikiwa Leo then ukajiona mkubwa kuliko ndugu na familia...
Mwakinyo na Pogba sio mifano mizuri....wanastahili wanachopitia....ni mfumo tu.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app