Ndugu walivyochangia matatizo ya Pogba na Mwakinyo

Ndugu walivyochangia matatizo ya Pogba na Mwakinyo

Ukiidharau familia yako basi Jiandae ulimwengu kudharau....familia zinaheshimiwa tu,,,

Elewa kuna masikini na matajiri ktk ndugu na kitu kinawaunganusha ni heshima na upendo

Usije ukabarikiwa Leo then ukajiona mkubwa kuliko ndugu na familia...

Mwakinyo na Pogba sio mifano mizuri....wanastahili wanachopitia....ni mfumo tu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ivi unaelewa ulicho sema ....kama kina watu wana roho mbaya na chuki basi ni ndugu mifano ni mingi mfano hata misiba ya matajiri baba akisha tangulia hko nyuma ni majanga ....... ndugu wakae mbali na mmi tubaki kuwasiliana tu bas
 
Back
Top Bottom