Ndugu wana JF nimeamua leo mapema ni-rest in peace mapema

Lugha ya Malkia ni tatizo kwa waswahili, wengi wakisikia ku-rest in peace wanahusisha moja kwa moja na kifo!
Binadamu hai ndiye anayepumzika kwa amani, maiti (mfu) hapumziki so ni sahihi mtoa mada alivyosema anapumzika kwa amani nyumbani kwake.
 
R.I.P. (rest in peace) ni kufa. Unatutangazia kifo chako. Huu ni uchuro isije ikatokea kweli.
Ila jamii ya sasa ina mapungu wengi kwama rest in peace ni kufa aise watanzania wengi ni wajinga sana. Yaani mtu akisema nipo naenda kupumzika kwa amani anaenda kufa. Watu wamekuwa na zero brain km huyu jamaa kwamba anatangaza kifo chake duuuh
 
Kuna tofauti Kubwa sana ya Bange / Bangi zilizovutwa Enzi zetu ( pamoja na Bob Marley hadi Lucky Dube ) zilizotupa IQ Kubwa ( Intelligence ) na hizi za sasa zinazowapeni Upumbavu ( Foolishness ) kila Uchao tu.
 
Kama Serikali iliweza kuvipiga stop viroba,inasubiri nini kuvistopisha Master Spiriti?
 
Kulala salama kwa minajiri kwamba Mtu akifa haelew chochote wala hajui hata yupo wapi,mavumbini amerud na mwili tu utaanza kuliwa na wadudu tukija kwenye nafsi hapo limekaaa kiimani na mtizamo
Kwahiyo alilala salama au alikufa? Na wewe unaamini mfu hulala salama?
 
Kuna tofauti Kubwa sana ya Bange / Bangi zilizovutwa Enzi zetu ( pamoja na Bob Marley hadi Lucky Dube ) zilizotupa IQ Kubwa ( Intelligence ) na hizi za sasa zinazowapeni Upumbavu ( Foolishness ) kila Uchao tu.
Ukiwa na maana gani?? Unaniambia nini mimi jasusi mwandamizi
 
Ila jamii ya sasa ina mapungu wengi kwama rest in peace ni kufa aise watanzania wengi ni wajinga sana. Yaani mtu akisema nipo naenda kupumzika kwa amani anaenda kufa. Watu wamekuwa na zero brain km huyu jamaa kwamba anatangaza kifo chake duuuh
Akili kubwa mkuu.
 
Lugha ya Malkia ni tatizo kwa waswahili, wengi wakisikia ku-rest in peace wanahusisha moja kwa moja na kifo!
Binadamu hai ndiye anayepumzika kwa amani, maiti (mfu) hapumziki so ni sahihi mtoa mada alivyosema anapumzika kwa amani nyumbani kwake.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…