Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mkuu huku Kindi na Kirima, Mango Mloe na Kitandu JF inakamata sanaNi kweli uzuri wa jamii forum, hadi huko kwenu kibosho kuna watu wana tumia jamii forum.
Kwahiyo alilala salama au alikufa? Na wewe unaamini mfu hulala salama?Kuna jamaa nilisoma nae chuo..aliwahi dhihaki hvyo hvyo na haikupita wiki ...tukampost status alale salama
Unamaanisha Mbwa au Umbwa ya uumbaji?Umbwa
Ila jamii ya sasa ina mapungu wengi kwama rest in peace ni kufa aise watanzania wengi ni wajinga sana. Yaani mtu akisema nipo naenda kupumzika kwa amani anaenda kufa. Watu wamekuwa na zero brain km huyu jamaa kwamba anatangaza kifo chake duuuhR.I.P. (rest in peace) ni kufa. Unatutangazia kifo chako. Huu ni uchuro isije ikatokea kweli.
Kuna tofauti Kubwa sana ya Bange / Bangi zilizovutwa Enzi zetu ( pamoja na Bob Marley hadi Lucky Dube ) zilizotupa IQ Kubwa ( Intelligence ) na hizi za sasa zinazowapeni Upumbavu ( Foolishness ) kila Uchao tu.Ndugu wana JF nimeamua leo ni-REST IN PEACE MAPEMA,kwa nini nimechukua uamuzi huu?
Kwa sababu niliamka mapema sana saa 11 asubui nikaenda mazoezin,then baadae nikajiandaa kwenda job,
Kutokana na uchovu wa leo wa kuamka mapema na kufika kazini kukuta kazi,nyingi za kampuni,
Nimefanya kwa juhudi kubwa na kuitumikia kampuni sasa nimerudi home nikiwa Nimechoka sana, hapa,nimeoga nimekula sasa nimeamua ni rest in peace
Nipumzike kwa amani.
Yani nijipumzishe mapema tu hili kesho pia niamke mapema Kuelekea kazini..!! [emoji848]
#RestInPeace
Kama Serikali iliweza kuvipiga stop viroba,inasubiri nini kuvistopisha Master Spiriti?Ndugu wana JF nimeamua leo ni-REST IN PEACE MAPEMA,kwa nini nimechukua uamuzi huu?
Kwa sababu niliamka mapema sana saa 11 asubui nikaenda mazoezin,then baadae nikajiandaa kwenda job,
Kutokana na uchovu wa leo wa kuamka mapema na kufika kazini kukuta kazi,nyingi za kampuni,
Nimefanya kwa juhudi kubwa na kuitumikia kampuni sasa nimerudi home nikiwa Nimechoka sana, hapa,nimeoga nimekula sasa nimeamua ni rest in peace
Nipumzike kwa amani.
Yani nijipumzishe mapema tu hili kesho pia niamke mapema Kuelekea kazini..!! [emoji848]
#RestInPeace
Kwahiyo alilala salama au alikufa? Na wewe unaamini mfu hulala salama?
Ukiwa na maana gani?? Unaniambia nini mimi jasusi mwandamiziKuna tofauti Kubwa sana ya Bange / Bangi zilizovutwa Enzi zetu ( pamoja na Bob Marley hadi Lucky Dube ) zilizotupa IQ Kubwa ( Intelligence ) na hizi za sasa zinazowapeni Upumbavu ( Foolishness ) kila Uchao tu.
Akili kubwa mkuu.Ila jamii ya sasa ina mapungu wengi kwama rest in peace ni kufa aise watanzania wengi ni wajinga sana. Yaani mtu akisema nipo naenda kupumzika kwa amani anaenda kufa. Watu wamekuwa na zero brain km huyu jamaa kwamba anatangaza kifo chake duuuh
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120]Lugha ya Malkia ni tatizo kwa waswahili, wengi wakisikia ku-rest in peace wanahusisha moja kwa moja na kifo!
Binadamu hai ndiye anayepumzika kwa amani, maiti (mfu) hapumziki so ni sahihi mtoa mada alivyosema anapumzika kwa amani nyumbani kwake.