Ndugu wanavyoweza kuwa adui wa kutajirika kwako

Ndugu wanavyoweza kuwa adui wa kutajirika kwako

He wewe kwahiyo umeamua uje huku kutuchana?
Hizo hela hazizidi thamani ya ndugu zako.
Utatukumbuka[emoji16][emoji16]
 
Kikubwa ni kuwa real tu brother kama huna unamwambia mtu sina usipepese wala kumumunya.

Na mtu akikuomba kiasi flan cha pesa lets say laki1 unampatia robo yake tu yaan elfu25 tu hiyo nyengine akaparangane kwengine huko akili yake ichangamke.

Pia usipende kutoa ahadi yoyote ile ya pesa yaan kama hauna pesa kwa wakati husika unamwambia mtu sina.
 
Safi kabisa!

Kuna baadhi ya Koo ni Kama zina laana ...jitahudi usirudishe mawasiliano nao labda wazazi. All the best
Umemsoma vizuri mkuu? Yeye amesema alisoma kwa kuunga unga kwa kutumia misaada ya ndugu na jamaa! Halafu hapo hapo analaumu kuwa ndugu ni wabaya! Nadhani tatizo alikuwa nalo yeye na siyo ndugu.
 
Kikubwa ni kuwa real tu brother kama huna unamwambia mtu sina usipepese wala kumumunya.

Na mtu akikuomba kiasi flan cha pesa lets say laki1 unampatia robo yake tu yaan elfu25 tu hiyo nyengine akaparangane kwengine huko akili yake ichangamke.

Pia usipende kutoa ahadi yoyote ile ya pesa yaan kama hauna pesa kwa wakati husika unamwambia mtu sina.
Yeye mwenyewe ameanza kwa kusema ''Baada ya kusoma kwa kuunga unga kwa msaada wa ndugu jamaa na marafiki nilifanikiwa kufaulu chuo kikuu na kumaliza kwa grade nzuri.......''.
Yaani ndugu wasingemsaidia asingefika hapo.
 
Back
Top Bottom