Ndugu Watanganyika wenzangu Kataa wahuni, hatutiki gizani, no reforms no election

Ndugu Watanganyika wenzangu Kataa wahuni, hatutiki gizani, no reforms no election

BLUE DOG

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
971
Reaction score
1,547
Wandugu, tuna mshukuru sana ndugu Slowslow kwa kutuonyesha yalioko ndani ya chama chakavu na kutuonyesha ni kwa jinsi gani mambo yale yenye tija kwa wananchi yanavyoendeshwa kihuni

Kumbe ndani ya chama chakavu kila mtu yuko kwa maslahi yake na si kwaajili ya sisi waajiri wao

Sasa basi inabidi tu tembee na hizi hash tag muhimu kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi

Bora kayasema ila kwa kuchelewa sana na yeye kwa kweli ni sehemu ya tatizo

# KATAA WAHUNI
# HATUTIKI GIZANI
# NO REFORMS NO ELECTION
 
Back
Top Bottom