Ndugu Watanzania, sio walio magerezani wanaachiwa, bali bajeti ya 2021/2022 inakwenda kuondoa watu wengi gereza la kiuchumi

Ndugu Watanzania, sio walio magerezani wanaachiwa, bali bajeti ya 2021/2022 inakwenda kuondoa watu wengi gereza la kiuchumi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Magereza yanafunguliwa, magereza ya jeshi la magereza tunaona kwa macho. Je, ndio huyu au tusubiri mwingine, naye akajibu, vipofu wanaona na viziwi wanasikia!

Jela kubwa kabisa kuliko zote,jela ya kiuchumi,jela iliyoifunga nchi nzima nayo inakwenda kuvunjwa makufuli yake. Mwendazake alijiapiza kutufanya tulime kwa meno na kutukomesha.

Sasa kinachofuata ni nchi nzima kutabasamu na hela kuanza kuonelana mtaani. Akina baba watapokelewa na familia kwa tabasamu.

Wakati was wajasilia mali kuacha biashara na kukimbilia ajira za serikali unageuka, sasa mambo yanageuka, watu wataacha ajira na kwenda kujiajiri, hii itatoa fursa kwa wanaohitaji ajira.

Viva Samia Viva!
Code-SSH-2025
 
Kama kuna viongozi wanaotakiwa kukamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Ni hawa, Ndungai, Biswalo Mganga pamoja na jaji mkuu. Kwani walitumia ofisi za umma na madaraka yao vibaya.
 
Kama kuna viongozi wanaotakiwa kukamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Ni hawa, Ndungai, Biswalo Mganga pamoja na jaji mkuu. Kwani walitumia ofisi za umma na madaraka yao vibaya.
Ndio maana wakajiwekea kinga ya kutoshitakiwa.

Itabidi wananchi tushinikize waondolewe kinga hiyo na washitakiwe
 
Kaniudhi sana kuzuia mikutano ya vyama vya siasa.

Anaposema ana ruhusu mikyano ya ndani tu. Simwelewi kabisaaaaa.
 
Back
Top Bottom