game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
So sad though. Police wa Kenya wanamaliza wakenya kuliko Corona yenyewe. Vijana wawili ndugu wa kuzaliwa
(Embu brothers) Emmanuel Mutura 19 na Benson Njiru 23 years waliofikwa na umauti wakiwa mikononi mwa polisi hatimae wamepumzishwa kwenye nyumba Yao ya Milele.
Vijana Hawa walifikwa na umauti kwenye mazingira ya kutatanisha wakiwa mikononi mwa polisi baada ya kukiuka taratibu za Curfew. Huu ni mwendelezo wa matukio mengi ya ukatili na mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi Kenya ndidi ya wananchi wa kawaida. wapumzike kwa Amani Emmanuel na Benson.
Walaaniwe wote waliohusika kukatisha Maisha ya vijana Hawa wadogo.