Hili tukio la Kianjokoma limeniuma sana. Ila ndio mwanzo tu wa mwisho wa uvumilivu wetu sisi vijana nchini Kenya. Kitaeleweka tu hivi karibuni nawahakikishia na hadi damu itamwagika ili haki ipatikane.
Polisi wanadai kwamba Emmanuel na Benson waliaga dunia baada ya kuruka kutoka kwa gari la polisi. Lakini miili yao ilipatikana kilomita 18 kutoka kwa 'route' ambayo polisi walitumia kusafirishia waliokamatwa hadi kituo cha polisi.
Zaidi ya hayo 'post-mortem' ilionyesha kwamba walikuwa na majeraha ambayo hayaendani na maelezo ya polisi kuhusu yaliyojiri usiku huo. Pumbavu zao hao mbwa!