Nyie ndio mnafanya Yanga wote muonekane hamna akilina simba (Ndumbalo) ni kama tu wamepigwa pia 2-0 ukiondoa bao la kubahatisha la Shabalala.
Tatizo lako(siyo changamoto)hauhudhurii kliniki ya wagonjwa unyooshe viungo.Lile goli la Mohamed Hussein ni la kubahatisha?Kijijini kwetu walipoliona lile goli nimezawadiwa punda nibebee maji mtoni.Mungu fundi kwelikweli. Yanga (Damas) kapigwa 2-0 na simba (Ndumbalo) ni kama tu wamepigwa pia 2-0 ukiondoa bao la kubahatisha la Shabalala. Nchi imetulia hakuna vuvuzela hata moja lilisikika mtaani, ni utulivu kwa kwenda mbele.
Yanga wanasema walifungwa kwasababu waliwakosa wachezaji wake hatari kama Mzize, Job, Aucho na Boka, Je, Simba walitoa kisingizio gani?
Tuache ushabiki lopolopo, tuzipe timu zetu ushauri wa kimpira utakaowasaidia kuvuka vizingiti.
Sikatai kuwa lile lilikuwa goli kali sana na linaweza kuwa miongoni mwa magoli bora ya mashindano, LAKINI LAKINI LAKINI ile ilikuwa cross iliyokatika na kuelekea golini moja kwa moja. Hata mfungaji alishangangaa kuambiwa limeingia golini; flukeTatizo lako(siyo changamoto)hauhudhurii kliniki ya wagonjwa unyooshe viungo.Lile goli la Mohamed Hussein ni la kubahatisha?Kijijini kwetu walipoliona lile goli nimezawadiwa punda nibebee maji mtoni.
Alikuwa anaangalia wapi?Alitaka kutoa pasi au kufunga goli?Acha wivu aisee!Sikatai kuwa lile lilikuwa goli kali sana na linaweza kuwa miongoni mwa magoli bora ya mashindano, LAKINI LAKINI LAKINI ile ilikuwa cross iliyokatika na kuelekea golini moja kwa moja. Hata mfungaji alishangangaa kuambiwa limeingia golini; fluke
Wewe mkuu wewe!Tunyamaze.Hakuna aliyekuwa kwenye akili zake.Lengo lake lilikuwa kuwasogezea mpira watu wenye kazi yao ya kufunga, lakini kwa bahati mbaya cross ilikataa na kuelekea golini likawa goli.
Uliwahi kuona magoli aliyofunga Yahya Tostao akiwa timu ya taifa au lile goli la free kick alilofunga Robert Carlos dhidi ya Ufaransa.Sikatai kuwa lile lilikuwa goli kali sana na linaweza kuwa miongoni mwa magoli bora ya mashindano, LAKINI LAKINI LAKINI ile ilikuwa cross iliyokatika na kuelekea golini moja kwa moja. Hata mfungaji alishangangaa kuambiwa limeingia golini; fluke
Ile haikuwa free kick bro. Tena naomba Mungu lile goli liingie kwenye magoli bora na lishinde tuzo ili jamaa apate kifuta jasho baada ya kuutumikia mpira kwa miaka mingi bila kupata bao kama lile. Lile goli sio tabia ya shabalala.Uliwahi kuona magoli aliyofunga Yahya Tostao akiwa timu ya taifa au lile goli la free kick alilofunga Robert Carlos dhidi ya Ufaransa.
Mtaalamu wa kuona magoli ya bahati kutoka TanzaniaSikatai kuwa lile lilikuwa goli kali sana na linaweza kuwa miongoni mwa magoli bora ya mashindano, LAKINI LAKINI LAKINI ile ilikuwa cross iliyokatika na kuelekea golini moja kwa moja. Hata mfungaji alishangangaa kuambiwa limeingia golini; fluke