Ndugu wawili Yanga na Simba wote wamepigwa Algeria, nchi imetulia tuli

Ndugu wawili Yanga na Simba wote wamepigwa Algeria, nchi imetulia tuli

Unaweza kuniambia sababu ya msingi iliyomuondoa NDUMBARO kwenye WIZARA YA UTAMADUNI NA MICHEZO?
Kasi ya Kabudi ni ndogo sana. Mama ni muumini wa utawala wa sheria, wanaomzunguuka ndio wanamkwamisha tu. Kwaasili wakinamama hawapendi kashfa na aibu. Hata hili la watu kutekwa na kuiba kura ni aibu kwa utawala wa sheria ambao mkuu wake alikuwa Kabudi.
 
Mtaalamu wa kuona magoli ya bahati kutoka Tanzania
Naam nipo hapa aisei!! Magoli ya bahati hayakuanzia kwake, bali hada Mapinduzi Balama na Jonas Mkude waliwahi kuyapata magoli kama yale lakini sasa hivi hawawezi kuyapata tena hata yanayokaribia kama yale. Na duniani kote magoli mazuri ya kushangaza kwenye mashindano hupatikana kwa bahati tu.Golikipa anaanzisha mpira golini kwake na moja kwa moja linakwenda kuingia nyavuni kwa timu pinzani bila kuguswa na mchezaji mwingine. Shabalala aliokota tunda la kiwi chini ya mfenesi.
 
Lolote liwakute kurwa na doto hii wikend
Naomba Mungu dhambi ya kuombeana mabaya hata wanaapocheza na timu za nje iwatafune wote mpaka waishe kabisa. Kule Algeria ugenini badala ya kushiriaka warudi wote na ushindi Tanania wakawa wanaombeana mmoja afungwe na mwingine arudi na matarumbeta. Mungu fundi, akazishika na kuziminya nanihino zao wote. Waalgeria walitumia burdizo method
 
Kasi ya Kabudi ni ndogo sana. Mama ni muumini wa utawala wa sheria, wanaomzunguuka ndio wanamkwamisha tu. Kwaasili wakinamama hawapendi kashfa na aibu. Hata hili la watu kutekwa na kuiba kura ni aibu kwa utawala wa sheria ambao mkuu wake alikuwa Kabudi.
mtu aliyeshindwa kwenye wizara ya katiba na sheria si chini ya mala mbili,ataiweza mikiki ya wizara yetu pendwa ya michezo? Jibu asilimia 70 ni hapana.
 
mtu aliyeshindwa kwenye wizara ya katiba na sheria si chini ya mala mbili,ataiweza mikiki ya wizara yetu pendwa ya michezo? Jibu asilimia 70 ni hapana.
Kabudi ni Mzee kumleta wizara ya vijana wengi ni kuwapuuza vijana. Ukiwa professor lazima utende zaidi kuliko matarajio, lakini maprofessor wetu ni average sana kwenye field.
 
Back
Top Bottom