Kasi ya Kabudi ni ndogo sana. Mama ni muumini wa utawala wa sheria, wanaomzunguuka ndio wanamkwamisha tu. Kwaasili wakinamama hawapendi kashfa na aibu. Hata hili la watu kutekwa na kuiba kura ni aibu kwa utawala wa sheria ambao mkuu wake alikuwa Kabudi.Unaweza kuniambia sababu ya msingi iliyomuondoa NDUMBARO kwenye WIZARA YA UTAMADUNI NA MICHEZO?
Naam nipo hapa aisei!! Magoli ya bahati hayakuanzia kwake, bali hada Mapinduzi Balama na Jonas Mkude waliwahi kuyapata magoli kama yale lakini sasa hivi hawawezi kuyapata tena hata yanayokaribia kama yale. Na duniani kote magoli mazuri ya kushangaza kwenye mashindano hupatikana kwa bahati tu.Golikipa anaanzisha mpira golini kwake na moja kwa moja linakwenda kuingia nyavuni kwa timu pinzani bila kuguswa na mchezaji mwingine. Shabalala aliokota tunda la kiwi chini ya mfenesi.Mtaalamu wa kuona magoli ya bahati kutoka Tanzania
Naomba Mungu dhambi ya kuombeana mabaya hata wanaapocheza na timu za nje iwatafune wote mpaka waishe kabisa. Kule Algeria ugenini badala ya kushiriaka warudi wote na ushindi Tanania wakawa wanaombeana mmoja afungwe na mwingine arudi na matarumbeta. Mungu fundi, akazishika na kuziminya nanihino zao wote. Waalgeria walitumia burdizo methodLolote liwakute kurwa na doto hii wikend
mtu aliyeshindwa kwenye wizara ya katiba na sheria si chini ya mala mbili,ataiweza mikiki ya wizara yetu pendwa ya michezo? Jibu asilimia 70 ni hapana.Kasi ya Kabudi ni ndogo sana. Mama ni muumini wa utawala wa sheria, wanaomzunguuka ndio wanamkwamisha tu. Kwaasili wakinamama hawapendi kashfa na aibu. Hata hili la watu kutekwa na kuiba kura ni aibu kwa utawala wa sheria ambao mkuu wake alikuwa Kabudi.
Uzuri mungu kweli boli hayupo hapo ni suala ya juhudi zenu wenyeweNaomba Mungu dhambi ya kuombeana mabaya hata wanaapocheza na timu za nje iwatafune wote mpaka waishe kabisa.
Kabudi ni Mzee kumleta wizara ya vijana wengi ni kuwapuuza vijana. Ukiwa professor lazima utende zaidi kuliko matarajio, lakini maprofessor wetu ni average sana kwenye field.mtu aliyeshindwa kwenye wizara ya katiba na sheria si chini ya mala mbili,ataiweza mikiki ya wizara yetu pendwa ya michezo? Jibu asilimia 70 ni hapana.