Kweli! Kwa mini Msaada unaanza na Masharti ya Kuacha kazi yako kwanza!!Kama kasema ukifilisika ni shauri yako hatakudai.... kwanini akulazimishe uache kazi? Kama kaamua kukupa mtaji si akuache upange unavyoona inafaa???
Nina mashaka na huo msaada
Kwa kweli huyo ndugu anakutakia mema sana.Sijamwomba. In fact yeye anaona kama ananisaidia kutoka utumwa wa kuajiriwa hadi kuzeeka. Anasema hakuna mtu Tanzania anakuwa tajiri na kufanikiwa kwa mshahara. Lazima awe ni mwizi, mla rushwa au fisadi, na anajua mie ufisadi siwezi kufanya na hata hivyo kazi yangu sio ya kufanya ufisadi au rushwa hata ningetaka. Sana sana nikijiongeza ni trip ya mikoani ya kikazi na sio nyingi, labda mbili au tatu kwa mwaka.
Mkuu, sualala kwamba hatatoa hiyo hela halipo kabisa. In fact hiyo hela nina acces nayo, ni suala la kuamua tu. Yaani scenario iko hivi, kama ukiamua, transfer hiyo amount utumie kwenye hiyo shughuli, ila usifanye hivyo hadi unihakikishie umeacha kazi kama tulivyokubaliana. Kwa jinsi uhusano wetu ulivyo, siwezi kudanganya, na yeye anajua siwezi kabisa kumdanganya.Mwambie umeacha...Akutumie hiyo hela, uipokee...uanze Kitu utakacho fikiria...Mbeleni mambo yakikaa sawa, unaacha.
Hofu yetu ni kuwa unaweza acha, na asikupe hiyo hela...Na wewe pia usijiaminishe sana kupewa hiyo hela.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Mkuu kama hutajali kazi yako ni profession ipi? Maaana kama unaimudu pia unaweza kuifanya kama consultant km ni kazi yenye demand na utaweza kufanya marketingMkuu, lazima nikiri kwamba sifanyi kazi yangu kwa kuwa naipenda, bali kwa kuwa inaniwezesha kukidhi mahitaji ya familia ya kila siku - yaani inatosheleza kula, kuvaa na kulala, na pia naimudu vizuri. Kama ingekuwa suala lakufanya kazi ninayoipenda basi ningependa niwe pilot nirushe Dreamliner za ATCL!
Bro ako yuko na upeo mkubwa tambua kuwa kila mwajiriwa ni mtumwa kwa bosi wake, Ushauri wangu chukua likizo ya siku 28 au siku 14 tu nenda mbali na mazingira uliozoea explore nature muda huo ujitenge na watu kidogo uwe peke yako jitathmin then ukitoka huko akili itakuwa imekukaa sawa utamwelewa zaidi bro ako nini anataka ufanye.Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.
Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.
Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado sielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?
Na haina mtaji zaidi ya kujenga na kuweka vitu vya roomNi kweli kabisa Mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nitakushauri akideposit hiyo hela
Kama umeoa na una watoto baki na kazi yako ya kuajiriwa (Tshs. 1.5M). Unaoneka huna plan.
Tshs. 200M sio nyingi kama haujui nini cha kufanya. Unaweza kujikuta umebakiwa na 10M baada ya miaka 5.
Mil 100 wekeza kwemye bondi za Benki Kuu afu mil 50 wekeza kwa UTT, afu 50 ya mwisho Anza biashara ya mazao...buying and selling... usitume mtu fanya mwenyewe.Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.
Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.
Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado milsielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?
Hiyo hela nyingi anzisha biashara ya jumla unatoboa fasta.upo mkoa gani .leo hii ukiwa na 200 ukienda kwenye makampuni makubwa ukinunu mzigo mzigo wa milioni 200 wanakuongezea hata 80 kama mteja mwaminifu kama bidhaa za azamMara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.