susan daudi
Senior Member
- Oct 17, 2018
- 110
- 134
jaribu kwanza kwa kutumia akili yako endapo utashindwa then you can ask for help na usikubali kishindwaNitamsaidia vipi ili aweze kujiongeza?
Mkuu we tambua atakaa sawa huyo, hakuna mtu duniani aliwahi kuchanganyikiwa moja kwa moja kwaajili ya mapenzi. Hua wanayumba tu na baadae kujitambua (hakuna kitu kinauma vibaya sana kama mtu kufiwa na mama mzazi au baba mzazi, mwanzo ni kawaida kupoteza dira ya maisha/kuchanganyikiwa/kuzimia/kupata depression iso ya kawaida, ila baadae dira hua inarudi na machungu yake hua yanapungua).Kama hajaamua kumove on itakuwaje sasa maana amekuwa kama amechanganyikiwa
how sure are you ucjipe moyo kwa tatizo kama hilo wwMkuu we tambua atakaa sawa huyo, hakuna mtu duniani aliwahi kuchanganyikiwa moja kwa moja kwaajili ya mapenzi. Hua wanayumba tu na baadae kujitambua (hakuna kitu kinauma vibaya sana kama mtu kufiwa na mama mzazi au baba mzazi, mwanzo ni kawaida kupoteza dira ya maisha/kuchanganyikiwa/kuzimia/kupata depression iso ya kawaida, ila baadae dira hua inarudi na machungu yake hua yanapungua).
We amini ninayokuambia, hata kama anakesha usiku kucha kulia au kipiga kelele hovyo, atapona, ondoa hofu. Hio hua intaokea tu kawaida.
poaNichek in box. Bdae nikiwa na muda ntakuchek.
Atafute binti mwingine.Chanzo tumekijua kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti flani...sasa huyo binti akamuacha
utamsaidiaje sas kwa upande wa hela?Mental health is just like physical health, body gets injured so as the brain. Muhimbili kuna kitengo kizuri cha ubongo. Matibabu ni ya muda mrefu
Mi ni mwanaume, na nimeongea kuhusu experience tunazopitia na zinazotufanya kua na tabia fulani kuhusiana na mapenzi/wanawake, sasa kama unataka kubishana na maelezo yangu haya, endelea kunibishia mpaka utakapo kutana na mwanaume mwenye ROHO YA CHUMA ndio utanielewa. [emoji18]how sure are you ucjipe moyo kwa tatizo kama hilo ww
inawezekanaAfanyiwe maombi
hata huyo mwanaume mwenye roho ya chuma simtakiMi ni mwanaume, na nimeongea kuhusu experience tunazopitia na zinazotufanya kua na tabia fulani kuhusiana na mapenzi/wanawake, sasa kama unataka kubishana na maelezo yangu haya, endelea kunibishia mpaka utakapo kutana na mwanaume mwenye ROHO YA CHUMA ndio utanielewa. [emoji18]
Halafu mi sijui kizungu pia[emoji18]
atakuwaje bize na wakati memori haisomi?Mpe Muda Ajitafakari kwanza Ikiwezekana Awe Bize na Kutafuta Maisha
Aache Mabishano Na Wale watu sumu maana siku zote mfanyaji ubaya anapenda kuonekana yeye ametendewa atarusha maneno makali ili azidi kufanya ukandamizi wa kihisia njia madhubuti atoke mitandaoni/ akae mbali na watu sumu(toxic person)
Mkuu swala la vidonge ni jambo jingine atulie tu automatical ataponaJambo moja mshauri ndugu yako,
Asijaribu kutumia Antidepressant,
Kingine afanye mazoezi tu kwa sana,
kama anaweza kuogelea,hii ndio dawa nzuri sana,
mwambie atafute nafasi apige mbizi kwenda mbele,
Mazoezi ya kuogelea mazuri sana kwa depression.
Mpe pole,nimepitia hiko kipindi,akomae,muda hausimami.
Nduguze watamuweka bizeatakuwaje bize na wakati memori haisomi?
pole sanaNduguze watamuweka bize
sana sana wakazane kwenye maombi hata mimi lilishanikuta hili nilipopata kaunafuu nilichapa kazi tu
Hapo chachaChanzo tumekijua kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti flani...sasa huyo binti akamuacha
Depression ni hali ya kutiwa unyonge tu,Mkuu swala la vidonge ni jambo jingine atulie tu automatical atapona