Ndugu yangu amepata msongo wa mawazo (depression)

Kama hajaamua kumove on itakuwaje sasa maana amekuwa kama amechanganyikiwa
Mkuu we tambua atakaa sawa huyo, hakuna mtu duniani aliwahi kuchanganyikiwa moja kwa moja kwaajili ya mapenzi. Hua wanayumba tu na baadae kujitambua (hakuna kitu kinauma vibaya sana kama mtu kufiwa na mama mzazi au baba mzazi, mwanzo ni kawaida kupoteza dira ya maisha/kuchanganyikiwa/kuzimia/kupata depression iso ya kawaida, ila baadae dira hua inarudi na machungu yake hua yanapungua).

We amini ninayokuambia, hata kama anakesha usiku kucha kulia au kupiga kelele hovyo, atapona, ondoa hofu. Hio hua inatokea tu kawaida.
 
Mkuu we tambua atakaa sawa huyo, hakuna mtu duniani aliwahi kuchanganyikiwa moja kwa moja kwaajili ya mapenzi. Hua wanayumba tu na baadae kujitambua (hakuna kitu kinauma vibaya sana kama mtu kufiwa na mama mzazi au baba mzazi, mwanzo ni kawaida kupoteza dira ya maisha/kuchanganyikiwa/kuzimia/kupata depression iso ya kawaida, ila baadae dira hua inarudi na machungu yake hua yanapungua).

We amini ninayokuambia, hata kama anakesha usiku kucha kulia au kipiga kelele hovyo, atapona, ondoa hofu. Hio hua intaokea tu kawaida.
how sure are you ucjipe moyo kwa tatizo kama hilo ww
 
Mental health is just like physical health, body gets injured so as the brain. Muhimbili kuna kitengo kizuri cha ubongo. Matibabu ni ya muda mrefu
 
how sure are you ucjipe moyo kwa tatizo kama hilo ww
Mi ni mwanaume, na nimeongea kuhusu experience tunazopitia na zinazotufanya kua na tabia fulani kuhusiana na mapenzi/wanawake, sasa kama unataka kubishana na maelezo yangu haya, endelea kunibishia mpaka utakapo kutana na mwanaume mwenye ROHO YA CHUMA ndio utanielewa. [emoji18]

Halafu mi sijui kizungu pia[emoji18]
 
hata huyo mwanaume mwenye roho ya chuma simtaki
 
Jambo moja mshauri ndugu yako,
Asijaribu kutumia Antidepressant,
Kingine afanye mazoezi tu kwa sana,
kama anaweza kuogelea,hii ndio dawa nzuri sana,
mwambie atafute nafasi apige mbizi kwenda mbele,
Mazoezi ya kuogelea mazuri sana kwa depression.
Mpe pole,nimepitia hiko kipindi,akomae,muda hausimami.
 
Mpe Muda Ajitafakari kwanza Ikiwezekana Awe Bize na Kutafuta Maisha
Aache Mabishano Na Wale watu sumu maana siku zote mfanyaji ubaya anapenda kuonekana yeye ametendewa atarusha maneno makali ili azidi kufanya ukandamizi wa kihisia njia madhubuti atoke mitandaoni/ akae mbali na watu sumu(toxic person)
 
atakuwaje bize na wakati memori haisomi?
 
Jambo moja mshauri ndugu yako,
Asijaribu kutumia Antidepressant,
Kingine afanye mazoezi tu kwa sana,
kama anaweza kuogelea,hii ndio dawa nzuri sana,
mwambie atafute nafasi apige mbizi kwenda mbele,
Mazoezi ya kuogelea mazuri sana kwa depression.
Mpe pole,nimepitia hiko kipindi,akomae,muda hausimami.
Mkuu swala la vidonge ni jambo jingine atulie tu automatical atapona
 
Depression ni hali ya kutiwa unyonge tu,
kuonekana hufai duniani,na aliyekupa huo unyonge,
ingawaje si kweli,namna unavyochukulia tu na hiyo situation,
Binadamu tumeumbwa kutofautiana namna ya kuhimili matukio kama hayo,
Wengine hufikia uamuzi wa kutoa uhai kabisa,so si jambo la kawaida,provided lishawahi kukukuta.
 
Back
Top Bottom