susan daudi
Senior Member
- Oct 17, 2018
- 110
- 134
kazi kwaoHapo chacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi kwaoHapo chacha
Nipo nae mbali yeye yupo chuo, hali yake imebadilika hata kuongea imekuwa shidajaribu kwanza kwa kutumia akili yako endapo utashindwa then you can ask for help na usikubali kishindwa
sema wajifunzeDepression ni hali ya kutiwa unyonge tu,
kuonekana hufai duniani,na aliyekupa huo unyonge,
ingawaje si kweli,namna unavyochukulia tu na hiyo situation,
Binadamu tumeumbwa kutofautiana namna ya kuhimili matukio kama hayo,
Wengine hufikia uamuzi wa kutoa uhai kabisa,so si jambo la kawaida,provided lishawahi kukukuta.
Asante mkuuMkuu we tambua atakaa sawa huyo, hakuna mtu duniani aliwahi kuchanganyikiwa moja kwa moja kwaajili ya mapenzi. Hua wanayumba tu na baadae kujitambua (hakuna kitu kinauma vibaya sana kama mtu kufiwa na mama mzazi au baba mzazi, mwanzo ni kawaida kupoteza dira ya maisha/kuchanganyikiwa/kuzimia/kupata depression iso ya kawaida, ila baadae dira hua inarudi na machungu yake hua yanapungua).
We amini ninayokuambia, hata kama anakesha usiku kucha kulia au kupiga kelele hovyo, atapona, ondoa hofu. Hio hua intaokea tu kawaida.
PoaNichek in box. Bdae nikiwa na muda ntakuchek.
AsanteMental health is just like physical health, body gets injured so as the brain. Muhimbili kuna kitengo kizuri cha ubongo. Matibabu ni ya muda mrefu
aise maombi yanatakiwa kwa sanaNipo nae mbali yeye yupo chuo, hali yake imebadilika hata kuongea imekuwa shida
Hilo halina shida mkuuutamsaidiaje sas kwa upande wa hela?
Asante mkuuAfanyiwe maombi
Sawa mkuu hali yake imebadilika ghafla tangu juzi hata simu hapokei ( hajitambui )Jambo moja mshauri ndugu yako,
Asijaribu kutumia Antidepressant,
Kingine afanye mazoezi tu kwa sana,
kama anaweza kuogelea,hii ndio dawa nzuri sana,
mwambie atafute nafasi apige mbizi kwenda mbele,
Mazoezi ya kuogelea mazuri sana kwa depression.
Mpe pole,nimepitia hiko kipindi,akomae,muda hausimami.
poa fanya hivyoHilo halina shida mkuu
Asante mkuuMpe Muda Ajitafakari kwanza Ikiwezekana Awe Bize na Kutafuta Maisha
Aache Mabishano Na Wale watu sumu maana siku zote mfanyaji ubaya anapenda kuonekana yeye ametendewa atarusha maneno makali ili azidi kufanya ukandamizi wa kihisia njia madhubuti atoke mitandaoni/ akae mbali na watu sumu(toxic person)
sas tufanyeje kwa msaada zaidSawa mkuu hali yake imebadilika ghafla tangu juzi hata simu hapokei ( hajitambui )
poaAsante mkuu
Aisee kwa hyo unawanyoosha vilivyo?Kama chanzo ni mapenzi,
Huyo hakuna tiba kwake, wala usijisumbue, hata apikiwe chakula anachopenda na mama yake mzazi, hazinduki!!!. Ila usiwe na wasiwasi, atapona tu. Mpeni muda wa mwezi mmoja au mwezi na nusu akae na kujitafakari kwa utulivu bila kumkera kera hovyo (mkimkera na kumsumbua sana mnamuongezea mawazo, na anaweza kufanya maamuzi mabaya zaidi).
Hua inatokea kwa sisi wanaume, katika hatua fulani ya maisha, pindi unapotokea kukamatwa maskio na mwanamke, hufurukuti wala huruki kwake, halafu akakuacha kwa ghafla/bila sababu maalum, ila baada ya muda yanasahaulika na maisha kuendelea mbele. Athari hua inakua kubwa kama HAUNA AJIRA ya kukufanya uwe bussy.
ILAAAAAA, kawaida mtu kama huyo akipona huo msongo wa mawazo ya mapenzi na kurudi katika hali yake ya kawaida, hua wanajiwekea KIAPO MAALUM cha kuwanyoosha wanawake, wanawake hua wanatikiwa wajiandae na wafunge mkanda kwa wanaume kama hao (mtaani kwenu watamkoma). Atakua kama jasusi lenye ROHO ya chuma, ni kuwapanga mstari na kugegeda halafu kusepa, NO LOVE STORY kwake. (Imeshanitokea mimi binafsi na rafiki yangu hio hali).
sana 222222222222222222Aisee kwa hyo unawanyoosha vilivyo?
yupo mkoa upSawa mkuu hali yake imebadilika ghafla tangu juzi hata simu hapokei ( hajitambui )
Babu aliwahi kuniambia ukizaliwa mwanaume, unatakiwa kuheshimu vitu viwili, KAZI na DAWA.[emoji18]Aisee kwa hyo unawanyoosha vilivyo?
una msaada gan juu yakeyupo mkoa up
Yupo dodomayupo mkoa up