Ndugu yangu ana degree ya ualimu wa Kiswahili. Atapangiwa kituo cha kazi?

Ndugu yangu ana degree ya ualimu wa Kiswahili. Atapangiwa kituo cha kazi?

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Jaman kutokana na kuchelwa kwa ajira,kuna ndugu yangu ameanza kupata wasiwasi kama walimu walimu wa kiswahili watapangiwa mwaka huu maana nasikia mwaka jana kuna baadhi ya walimu waliachwa, mwenye ufahamu kuhusu hili walimu wa kiswahihili walipangiwa wote mwaka jana?

Asanteni.
 
Asiwe na hofu,walimu wa kiswahili na kiingereza wanahtajka sana hasa a-level.
 
Jaman kutokana na kuchelwa kwa ajira,kuna ndugu yangu ameanza kupata wasiwasi kama walimu walimu wa kiswahili watapangiwa mwaka huu maana nasikia mwaka jana kuna baadhi ya walimu waliachwa,mwenye ufahamu kuhusu hili walimu wa kiswahihili walipangiwa wote mwaka jana?
Asanteni

Nchi ya kusadikika hii..... Ajira hamna
 
Walimu bhana..... Mnahangaika Kama vile hamjiamini.... Tulieni mbona October siyo mbali???
 
Back
Top Bottom