Ndugu yangu anahitaji mume

Ndugu yangu anahitaji mume

Weka hata kapicha basi usije uzia watu mbuzi kwenye gunia
 
Hello humu ndani,ndugu yangu wa Kike anatafuta mume kuanzia miaka 36 - 45 awe mkristo na ikiwa yuko Mwanza itakuwa ni vzr zaidi,maana yeye yuko mwanza.Umri wake ni 36,kabila msukuma,ni mjasiliamali na anafaa kuwa mke haswaa.ukitaka kumfahamu zaidi Njoo inbox nikuunganishe naye.
We umeshaolewa?
 
mleta mada sio wewe unatafuta mme unasingizia ndugu yako? kuwa muwazi
 
Back
Top Bottom