Ndugu yangu anahitaji mume

Ndugu yangu anahitaji mume

Hello humu ndani,ndugu yangu wa Kike anatafuta mume kuanzia miaka 36 - 45 awe mkristo na ikiwa yuko Mwanza itakuwa ni vzr zaidi,maana yeye yuko mwanza.Umri wake ni 36,kabila msukuma,ni mjasiliamali na anafaa kuwa mke haswaa.ukitaka kumfahamu zaidi Njoo inbox nikuunganishe naye.
Dah... Dada zetu wa pwani (tanga,dar,zanzibar) jilipueni basi si mnaona wenzenu wa mwanza???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello humu ndani,ndugu yangu wa Kike anatafuta mume kuanzia miaka 36 - 45 awe mkristo na ikiwa yuko Mwanza itakuwa ni vzr zaidi,maana yeye yuko mwanza.Umri wake ni 36,kabila msukuma,ni mjasiliamali na anafaa kuwa mke haswaa.ukitaka kumfahamu zaidi Njoo inbox nikuunganishe naye.
Habar, umeshapata?
 
Back
Top Bottom