Nafikiri afanye kwanza uchunguzi kuthibitisha kama upo ukweli kuhusu maneno anayoambiwa na mkewe. Sio wanawake wote wanapenda ndugu wa mume, kunao uwezekano zikawa ni propaganda za kutengeneza tu!
MfukuzeHuyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mm hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nkiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshuglikia mke wake muda wote. Wadau huyu ana nidhamu ghani au nyie mmeelewa nini
fukuza kenge huyo...Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mm hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nkiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshuglikia mke wake muda wote. Wadau huyu ana nidhamu ghani au nyie mmeelewa nini
Fukuza hapo nyumbani, ndugu anakueletea usikuHuyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mm hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nkiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshuglikia mke wake muda wote. Wadau huyu ana nidhamu ghani au nyie mmeelewa nini
Je we ni kapuku?... Ukiona mtu anakudharau namna hyo bas kakuona we ni kapuku... Raise ua game kakaHuyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mm hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nkiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshuglikia mke wake muda wote. Wadau huyu ana nidhamu ghani au nyie mmeelewa nini
Ungekuwa uzi wa kifala mods wangeufuta na usingeusoma.Hizi stori za kiffaller msilete humu.
Utafugaje mpumbavu kama huyo?
Huyo nampa masaa awe ameondoka.
Tatizo la wabongo ni unafiki unashindwa kumchana mtu unaleta jf...faller wewe