Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Habarini!
Nina ndugu yangu yeye huwa anaongea mwenyewe usiku. Kwa mfano tumelala saa 6 na nusu lakini ikifika saa 7 kamili utamsikia anaropoka tena atasimama kabisa ataongea maneno utayaelewa mengine huyaelewi au akiwa anaongea atanyoosha na kidole as if anamnyooshe mtu anae ongea nae na mara nyingi huwa kama anakemea
akiamka asubuhi tukimwambia usiku ulikuwa unaogea na nani hakumbuki au utasikia Aaah acha tu hasemi.
Kuna siku hali hiyo hiyo tumelala ghafla akaamka akaenda hadi mlangoni kufungua mlango aondoje tukastuka kumwambia unaenda wapi haelewi tukamnasa kibao kama vile alizinduka ati eeenh kuna nini na yeye akasema haelewi ndio tukamwambia asifanye hivyo tena toka hapo hajafanya tena.
Siku yingine tumelala ghafla akafoka akaanza kuchomoa Neti yote huku anaongea ghafla sijui alijistukia akaichomeka halafu akakaa kimya ndio akalala.
Pia soma:Kutembea ukiwa usingizini