Ndugu yangu anaongea usiku na wakati mwingine anainuka na kufanya vitendo, naomba ufafanuzi wa hili jambo

Poleni sana hiyo shida inahitaji huduma ya kiroho zaidi. Mungu atasaidia litaisha taadhari inatakiwa sana mfunge milango vyema bahati mbaya inaweza kutokea akapotea msimpate. Mungu awasaidie mpate suluhisho ktk hiyo shida.
shukrani mkuu🙏
 
Huyo ni rahisi kuu kumkamata kama amechepuka unategema muda wa kulala akianzaa unasikiliza halafu unampa kerebu moja ukijifanya kumzindua kumbe unatoa na machungu
 
Kuna siku hali hiyo hiyo tumelala ghafla akaamka akaenda hadi mlangoni kufungua mlango aondoje tukastuka kumwambia unaenda wapi haelewi tukamnasa kibao kama vile alizinduka

Kumbe kerebu zinamtoa wenge, endeleeni tu kutoa dozi ya kerebu...
 
MAJIBU YAPO YA AINA MBILI
1)Kwa mujibu wa sayansi ya afya ya binadamu (KITABIBU)
2)Kwa mujibu wa elimu ya mambo ya ulimwengu wa KIROHO

Mimi naungana na wote walioshauri kwa mujibu wa imani au mambo ya ROHONI.
Huyo bwana anapokuwa amelala anaingia katika ulimwengu mwingine wa KIROHO sasa huu ulimwengu wa kiroho upo wa aina mbili ,ulimwengu wa giza na nuru.
Kujua yeye anaingia ulimwengu upi kati ya huo je ni wa ufalme wa giza(ushirikina,uchawi,mizimu,majini,uganga wa kienyeji,shetani) au ufalme wa nuru wa Mbinguni..ni rahisi kujua kwa kutazama matendo maisha yake maneno yake na ibada zake utagundua anatumika au anatumiwa na nguvu za Mungu au za giza.
Kujua kama anashiriki kwa kupenda yani kama ni mwanachama au anatumiwa kwa kulazimishwa na hapendi pia ni rahisi.
Kama hapendi kutumika angekwambia SIRI ya hayo anayokutana nayo huko na pengine kukuomba ushauri au msaada kuliko kusema tu ACHA TU(KUNA SIRI ANAYOIJUA HAJAISEMA/KAIFICHA).
 
endelea s

asa ndo.nini kuishia kati
 
Binamu yangu mi alikuwa anafungua mlango kabisa anaenda kulala vichakani...au akiamka anaenda kwenye kitanda Cha mtu mwingine anakojoa kitandani then anarudi kwenye kitanda chake au analala chini
Kuna mwingine huyo yeye anaamka anawasha gesi anakaanga mayai anakula anarud kulala. Hata siku moja hali kiporo kilichobaki usiku kwenye hizo ndoto zake..yeye anagonga mayai tu. Anaweka na chumvi akimaliza anazima gesi akula anarud kumbonji
 
Back
Top Bottom