raji makuya
Member
- Aug 22, 2014
- 58
- 4
mwanzon tulijua ni vidonda vya tumbo ila sasa amepima tena ameambiwa ana tatzo la mgongo ambapo anatakiwa apimwe zaid na kipimo cha MRI ambacho ni gharama mno. kama kuna dr mtaalam wa haya plzz anisaidie
pole sana kaka,hata kama kuna dr hapa hataweza kukusaidia chochote,cha zaidi ni kujichanga ili aende akafanyiwe mri coz hata dr hawezi kuprescribe matibabu bila kuona picha za mri pamoja na dr report ya dr wa vipimo.ni kweli ni gharama,nadhani kuanzia laki tatu na nusu kuendelea
Upo wapi?na umeonwa na physician ama physiotherapist??nakushauri uonwe na physiotherapist kwanza kabla ya kipimo anaweza kuwa msaada mkubwa