Ndugu yangu Mshana jr upo?

Ndugu yangu Mshana jr upo?

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
3,435
Reaction score
4,245
Tangu Jf iondoke hewani jana na kurudi Leo... Watu tumepoteana kabisa... Wengine tuliacha ahadi zetu hewani hewani... Wengine waliacha miTongozo yao hewani hewani... Wengine ndio walikuwa kwenye kuelekezana wakutane wapi katika kusherehekea siku kuu hii adhimu kabisa ya muungano...

Sasa wengi wamejitokeza baada ya jf kurudi hewani lakini SIMUONI NDUGU YANGU Mshana jr.

Mshana jr UPO WAPI JITOKEZE TUKUONE
 
Nipo ndugu yangu asante kwa kujali... Nilikuwa Msata kilingeni..... Tulikuwa na vikao vya hapa na pale lakini zaidi tulikuwa tunapambana damu isyo na hatia isimwagwe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimeiona kazi yako/yenu... Hakika mmeifanya kazi maana leo yalikuwa mapumziko ya nguvu.. watu wengi walipitiwa na usingizi...
Wamekuja kustuka saa kumi jioni
 
Tangu Jf iondoke hewani jana na kurudi Leo... Watu tumepoteana kabisa... Wengine tuliacha ahadi zetu hewani hewani... Wengine waliacha miTongozo yao hewani hewani... Wengine ndio walikuwa kwenye kuelekezana wakutane wapi katika kusherehekea siku kuu hii adhimu kabisa ya muungano...

Sasa wengi wamejitokeza baada ya jf kurudi hewani lakini SIMUONI NDUGU YANGU Mshana jr.

Mshana jr UPO WAPI JITOKEZE TUKUONE

Yupo sana, sema kazidiwa na majukumu...

images
 
Back
Top Bottom