Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Kwa hiyo Kajala na mwanaye wanagundu ndiyo maana hapati ubalozi tena?
 
ila dogo mademu wamemlostisha sana....manake ulimbukeni ulimuingia na kumtoa kwenye Reli
 
Mara ya mwisho nilisoma kuwa alikuwa Taiwan kama mchezaji wa kulipwa. Analipwa kuliko CEO wa shirika lolote la Tanzania.
 
Umeongea ukweli mtupu
 
Mademu wa gundu aisee. Nilikua nakamua demu fulani mashine mbovu Ila nikawa najikausha tu basi nikawa nawaza kutiana tu. Baada ya kummwaga aisee deals kama zote
 
Ok thanks πŸ‘, hivi ile safari ulishafanya? Pm. Yangu haifanyi kazi sijui kwanini
Pole,siyo PM yako tu,hata yangu na za baadhi ya wadau.Sijui mods hawalioni hili tatizo...?
Anyway,labda wanajua na wanajitahidi kulitatua hilo tatizo.
 
Nadhani amerudi onetime kwa ajili ya kusupport Timu ya TZ kwenye mashindano ya Basket Ball(PAZI).
Jana nilikuwa mitaa ya donbosco
Kwenye game ya jkt vs dar city
Naona katulia tu,sema alisalimia kaka
Zake...alipata nafasi nzuri hakuitumia vzr

Ova
Your browser is not able to display this video.
 
Hili neno limekuwa likinitatiza miaka ya karibuni juu ya namna linavyotumika sasa na maana halisi tuliyofunzwa mashuleni. Kwa maana hiyo basi ningelipenda mtu yeyote yule atowe tafsiri sahihi ya neno Mzalendo na ni nani mzalendo? Shukran.
 
Tz wale waliyokuwa na vipaji haswa
Na walienda marekani hawakupata nafasi....huko yeye utolu ulimsaidia
Sema ndiyo hivyo,any way Acha arudi kucheza nyumbani

Ova

Kati ya watu walionisikitisha ni TOLU "SABITI" ,Jamaa amechezea shilingi chooni.....Tumekosa fedha zake kwenye mzunguko huko TZ ,Mabilioni yake angekuwa anayatuma TZ yangetoa ajira kwa vijana.
 
Kati ya watu walionisikitisha ni TOLU "SABITI" ,Jamaa amechezea shilingi chooni.....Tumekosa fedha zake kwenye mzunguko huko TZ ,Mabilioni yake angekuwa anayatuma TZ yangetoa ajira kwa vijana.
Write off yule aendelee kucheza Taiwan tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…