Hasheem ni agemate was Stephen curry ushawahi muona curry aki flop au ushamuona James harden akiflop
Huo umri alio nao ndio umri yaani unakuwa guru kweli kweli kweye basketball
So unawacheki Alina Steph ,LeBron walivyo watabe kwenye game.
Huyo mzee hasheem niseme tu alipata bahati kucheza NBA sababu ya urefu wake but hakuwa na talent kabisa ya basketball kule NBA wanaitwa BUST nadhani yeye ni biggest bust of all time[emoji1787]maana alikuwa drafted namba 2 just imagine namba 2 yaani akitoka namba 1 ambaye ni Blake Griffin anafuatie yeye halafu James Harden ,Steph curry alikuwa namba 7 huko .
Jamaa kafanya NBA siku hizi wasiwe na mzuka na big men ukishakiwa na 7.2 footer hufai kwenhe ile game
Siku hizi hata 6.0 wanachukuliwa coz unakuta Wana skillz nyingi kuliko big men
6.0 anaweza dribble,pass,shooting ,defend, playmaking wakati big men Kama hasheem wataishia kuwa blockers [emoji1][emoji1787]
Hashema bhana .