Kwahiyo wew ni shemeji yake hashim thabit?Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.
bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.
Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.
Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
Mimi ni mtanzania mzalendo Hilo la ushemeji ni lako wewe!Kwahiyo wew ni shemeji yake hashim thabit?
Hashim ni mtu wa kuvimba, showoffs na kujimwambafai.Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.
bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.
Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.
Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
Stop being hater bro....mpe support kwa hta icho kidogo alichofanya NBAHashim ni mtu wa kuvimba, showoffs na kujimwambafai.
Angekuwa na mafanikio hayo, kila mwezi angekuwa anakuja bongo kuuza sura huku akifanya interviews za hapa na pale.
Wakati ule anazuga NBA tulikuwa hatulali, kila siku interviews Clouds mara Judge BSS ya Madam Ritta yumo.
Hashim Thabiti ni Diamond Nyange asiye na cha kuonesha.
Uzalendo n huyo jamaa unaingiliana vp? Ama wew ni hashimu mwenyewe?Mimi ni mtanzania mzalendo Hilo la ushemeji ni lako wewe!
Hivi hakuna timu ya Basketball ya Taifa ili hawa wanaocheza nje waitwe? Au huko kikapuni kumekaaje?Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.
bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.
Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.
Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
No hating. Just the truth.Stop being hater bro....mpe support kwa hta icho kidogo alichofanya NBA
Na isitoshe anaendelea kutuwakilisha huko Taiwan na anakichafua mbaya
Si ni mtanzania mwenzetu!?Uzalendo n huyo jamaa unaingiliana vp? Ama wew ni hashimu mwenyewe?
Bongo mchezo unaopewa support na serikali na washika dau ni football pekee coz ndio Una Kiki za kutosha.Hivi hakuna timu ya Basketball ya Taifa ili hawa wanaocheza nje waitwe? Au huko kikapuni kumekaaje?
Hili nalo neno..No hating. Just the truth.
Kilichomkuta Hashim Thabiti hakina tofauti na kilichomtojea Shaaban Nditi kule Chelsea.
Wabongo jifunzeni kwa Samatta.
Achaneni na kuvimba wakati safari bado mbichi.
Halafu mimi siyo msukule wa kutoa support tu unnecessarily kwa celebrity yoyote bila sababu yoyote.
I got issues to do.
boss una kijiko mpaka leo? ubwabwa hauji tajiri wanguView attachment 1707901nilijua huyu mzee wetu
Mimi ni mtanzania mzalendo Hilo la ushemeji ni lako wewe!
Jamaa hela Hana, angekuwa nazo tungemuona yupo na Mobeto mademu wengne type hzo
SawaInavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.