Ndugu yetu Hashim Thabit now yupo Taiwan anacheza Basketball

mbwewe

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
3,267
Reaction score
3,404
Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.

bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.

Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.

Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
 
Kwahiyo wew ni shemeji yake hashim thabit?
 
Hashim ni mtu wa kuvimba, showoffs na kujimwambafai.

Angekuwa na mafanikio hayo, kila mwezi angekuwa anakuja bongo kuuza sura huku akifanya interviews za hapa na pale.

Wakati ule anazuga NBA tulikuwa hatulali, kila siku interviews Clouds mara Judge BSS ya Madam Ritta yumo.

Hashim Thabiti ni Diamond Nyange asiye na cha kuonesha.
 
Stop being hater bro....mpe support kwa hta icho kidogo alichofanya NBA

Na isitoshe anaendelea kutuwakilisha huko Taiwan na anakichafua mbaya
 
Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.

bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.

Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.

Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
Hivi hakuna timu ya Basketball ya Taifa ili hawa wanaocheza nje waitwe? Au huko kikapuni kumekaaje?
 
No hating. Just the truth.

Kilichomkuta Hashim Thabiti hakina tofauti na kilichomtojea Shaaban Nditi kule Chelsea.

Wabongo jifunzeni kwa Samatta.

Achaneni na kuvimba wakati safari bado mbichi.

Halafu mimi siyo msukule wa kutoa support tu unnecessarily kwa celebrity yoyote bila sababu yoyote.

I got my own issues to fix.
 
Hivi hakuna timu ya Basketball ya Taifa ili hawa wanaocheza nje waitwe? Au huko kikapuni kumekaaje?
Bongo mchezo unaopewa support na serikali na washika dau ni football pekee coz ndio Una Kiki za kutosha.
 
No hating. Just the truth.

Kilichomkuta Hashim Thabiti hakina tofauti na kilichomtojea Shaaban Nditi kule Chelsea.

Wabongo jifunzeni kwa Samatta.

Achaneni na kuvimba wakati safari bado mbichi.

Halafu mimi siyo msukule wa kutoa support tu unnecessarily kwa celebrity yoyote bila sababu yoyote.

I got issues to do.
Hili nalo neno..

By the way tujifunze kuwapa support wachezaji wetu hta kama wana mapungufu km hyo ya kujivimbisha
 
IMG-20200901-WA0002.jpg
nilijua huyu mzee wetu
 
Hii mada umeileta kishambengashambenga sana....lengo lako halikuwa kumjadili Hasheem in a positive way kama unavyojifaragua bali tumcrash kwa kushuka hadhi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa hela Hana, angekuwa nazo tungemuona yupo na Mobeto mademu wengne type hzo
 
Mimi siyo shabiki wa huu mchezo hivyo niliamini Hashim atafanikiwa tu kutokana na urefu wake sielewi inakuaje anashindwa kuperform. Au urefu siyo kigezo katika huu mchezo?
 
Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.

bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.

Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.

Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
Sawa
 
Back
Top Bottom