Ukimuombea mwenzako mungu atakunyooshea na yako piaMaisha yangu yananishinda nimuombee mwenzangu[emoji848][emoji848][emoji848]
Kwani nditi aliishia wapi mkuuNo hating. Just the truth.
Kilichomkuta Hashim Thabiti hakina tofauti na kilichomtojea Shaaban Nditi kule Chelsea.
Wabongo jifunzeni kwa Samatta.
Achaneni na kuvimba wakati safari bado mbichi.
Halafu mimi siyo msukule wa kutoa support tu unnecessarily kwa celebrity yoyote bila sababu yoyote.
I got my own issues to fix.
Hili ndio tatizo letu watu weusi hatutaki ku appreciate mwenzetu anapofanikiwa.Jamaa hela Hana, angekuwa nazo tungemuona yupo na Mobeto mademu wengne type hzo
Vigezo vipo vingi sio urefu Tu!.Mimi siyo shabiki wa huu mchezo hivyo niliamini Hashim atafanikiwa tu kutokana na urefu wake sielewi inakuaje anashindwa kuperform. Au urefu siyo kigezo katika huu mchezo?
Ukimuombea mwenzako mungu atakunyooshea na yako pia
Lini kitu cha mwafrika kikawa Bora kuliko cha Mzungu ? Labda ulaji wa makande na ugali.....Hili ndio tatizo letu watu weusi hatutaki ku appreciate mwenzetu anapofanikiwa.
Hii self hate ndio inayofanya waafrica tusiendelee
Ndio maana leo hii tunaona vitu vya mzungu ni Bora kuliko vyetu hta km uhalisia haupo Ivo
Nawaonaga huko jukwaa la tech jinsi mnavyojisifia kumiliki vitu vya mzungu kana kwamba ndyo mungu wenu.
Mkuu jamaa kwa sasa anaonekana kukua kidogo sio kama zamani ,lile anguko la nba kuna kitu alijifunza ndio maana kwa sasa anajitahidi kurudi katika nafasi yake tumpe muda tuuHashim ni mtu wa kuvimba, showoffs na kujimwambafai.
Angekuwa na mafanikio hayo, kila mwezi angekuwa anakuja bongo kuuza sura huku akifanya interviews za hapa na pale.
Wakati ule anazuga NBA tulikuwa hatulali, kila siku interviews Clouds mara Judge BSS ya Madam Ritta yumo.
Hashim Thabiti ni Diamond Nyange asiye na cha kuonesha.
Blessings zake zitakushukia Hadi wewe akifanikiwaYeye ataniombea lini?
Maisha yangu yananishinda nimuombee mwenzangu
[/QU
Umenena vyema mkuu nba ngumu kutusuamaana kuna vijana miaka 18 -19, 20 wako moto mbaya ukienda na miaka yako 29,30 utuboiVigezo vipo vingi sio urefu Tu!.
Ndugu yetu kilichomuangusha ni lack of offensive skills kutokana na kuanza kucheza basket umri ukiwa ushaenda
All in all tunapaswa kumsifu hta kwa icho kidogo alichofanikisha.
Blessings zake zitakushukia Hadi wewe akifanikiwa
Kwa mfano akipata hela huko Taiwan akaja bongo na wazo la kujenga nyumba
Atakuja kwenye duka lako la hardware akakuunga matilio mbalimbali na wewe ukapata faida
Ivo ndio baraka zake zitakavyokuja kwako
Sasa ukimuombea mabaya maumivu hatopata pekee hata wewe yatakufikia kwa namna moja ama nyingine.
Na hii ndio sababu mwafrica akianzisha kitu chochote hafanikiwi kwa sababu ya mindset km izLini kitu cha mwafrika kikawa Bora kuliko cha Mzungu ? Labda ulaji wa makande na ugali.....
Kwa hiyo hao watu million 60 wote watanunua vifaa vya ujenzi kwenye duka moja?Yaani katika watu milioni 60 wa Tanzania aje kununua dukani kwangu?hauko serious
Kwa hyo maneno ya watu kuiponda project ndo yalimfanya ashindwe?! ...mwafrica uwezo mdogo tusijipambe ... Asili ya mwafrica ni uchawi , ushirikina, kutoa ndagu na kuvunja Nazi njia panda ....masuala ya kuumiza kichwa scientifically tuwaachie watu weupe ....Na hii ndio sababu mwafrica akianzisha kitu chochote hafanikiwi kwa sababu ya mindset km iz
Mengi alikuwa kwenye mchakato wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza simu, mkaanzisha thread za kuiponda project hta kabla haijaanza
Mchawi wa mwafrica ni mwafrica mwenyewe
Kwa hiyo hao watu million 60 wote watanunua vifaa vya ujenzi kwenye duka moja?
Kwa hyo maneno ya watu kuiponda project ndo yalimfanya ashindwe?! ...mwafrica uwezo mdogo tusijipambe ... Asili ya mwafrica ni uchawi , ushirikina, kutoa ndagu na kuvunja Nazi njia panda ....masuala ya kuumiza kichwa scientifically tuwaachie watu weupe ....
Tatizo lake hakujituma NBA
Hajulikani hata yuko wapi. Aibu tupu, akikutana na mbongo lazima akimbie.Kwani nditi aliishia wapi mkuu
Safi sana nirifikiri huyu kijana kapotea kabisa,maana muda mrefu sijamsikia,Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.
bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.
Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.
Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.