Ndugu yetu Hashim Thabit now yupo Taiwan anacheza Basketball

Ndugu yetu Hashim Thabit now yupo Taiwan anacheza Basketball

No hating. Just the truth.

Kilichomkuta Hashim Thabiti hakina tofauti na kilichomtojea Shaaban Nditi kule Chelsea.

Wabongo jifunzeni kwa Samatta.

Achaneni na kuvimba wakati safari bado mbichi.

Halafu mimi siyo msukule wa kutoa support tu unnecessarily kwa celebrity yoyote bila sababu yoyote.

I got my own issues to fix.
Kwani nditi aliishia wapi mkuu
 
Jamaa hela Hana, angekuwa nazo tungemuona yupo na Mobeto mademu wengne type hzo
Hili ndio tatizo letu watu weusi hatutaki ku appreciate mwenzetu anapofanikiwa.

Hii self hate ndio inayofanya waafrica tusiendelee

Ndio maana leo hii tunaona vitu vya mzungu ni Bora kuliko vyetu hta km uhalisia haupo Ivo

Nawaonaga huko jukwaa la tech jinsi mnavyojisifia kumiliki vitu vya mzungu kana kwamba ndyo mungu wenu.
 
Mimi siyo shabiki wa huu mchezo hivyo niliamini Hashim atafanikiwa tu kutokana na urefu wake sielewi inakuaje anashindwa kuperform. Au urefu siyo kigezo katika huu mchezo?
Vigezo vipo vingi sio urefu Tu!.

Ndugu yetu kilichomuangusha ni lack of offensive skills kutokana na kuanza kucheza basket umri ukiwa ushaenda

All in all tunapaswa kumsifu hta kwa icho kidogo alichofanikisha.
 
Hili ndio tatizo letu watu weusi hatutaki ku appreciate mwenzetu anapofanikiwa.

Hii self hate ndio inayofanya waafrica tusiendelee

Ndio maana leo hii tunaona vitu vya mzungu ni Bora kuliko vyetu hta km uhalisia haupo Ivo

Nawaonaga huko jukwaa la tech jinsi mnavyojisifia kumiliki vitu vya mzungu kana kwamba ndyo mungu wenu.
Lini kitu cha mwafrika kikawa Bora kuliko cha Mzungu ? Labda ulaji wa makande na ugali.....
 
Hashim ni mtu wa kuvimba, showoffs na kujimwambafai.

Angekuwa na mafanikio hayo, kila mwezi angekuwa anakuja bongo kuuza sura huku akifanya interviews za hapa na pale.

Wakati ule anazuga NBA tulikuwa hatulali, kila siku interviews Clouds mara Judge BSS ya Madam Ritta yumo.

Hashim Thabiti ni Diamond Nyange asiye na cha kuonesha.
Mkuu jamaa kwa sasa anaonekana kukua kidogo sio kama zamani ,lile anguko la nba kuna kitu alijifunza ndio maana kwa sasa anajitahidi kurudi katika nafasi yake tumpe muda tuu
 
Yeye ataniombea lini?
Blessings zake zitakushukia Hadi wewe akifanikiwa

Kwa mfano akipata hela huko Taiwan akaja bongo na wazo la kujenga nyumba

Atakuja kwenye duka lako la hardware akakuunga matilio mbalimbali na wewe ukapata faida

Ivo ndio baraka zake zitakavyokuja kwako

Sasa ukimuombea mabaya maumivu hatopata pekee hata wewe yatakufikia kwa namna moja ama nyingine.
 
Maisha yangu yananishinda nimuombee mwenzangu
emoji848.png
emoji848.png
emoji848.png

[/QU
Vigezo vipo vingi sio urefu Tu!.

Ndugu yetu kilichomuangusha ni lack of offensive skills kutokana na kuanza kucheza basket umri ukiwa ushaenda

All in all tunapaswa kumsifu hta kwa icho kidogo alichofanikisha.
Umenena vyema mkuu nba ngumu kutusuamaana kuna vijana miaka 18 -19, 20 wako moto mbaya ukienda na miaka yako 29,30 utuboi
 
Yaani katika watu milioni 60 wa Tanzania aje kununua dukani kwangu?hauko serious
Blessings zake zitakushukia Hadi wewe akifanikiwa

Kwa mfano akipata hela huko Taiwan akaja bongo na wazo la kujenga nyumba

Atakuja kwenye duka lako la hardware akakuunga matilio mbalimbali na wewe ukapata faida

Ivo ndio baraka zake zitakavyokuja kwako

Sasa ukimuombea mabaya maumivu hatopata pekee hata wewe yatakufikia kwa namna moja ama nyingine.
 
Lini kitu cha mwafrika kikawa Bora kuliko cha Mzungu ? Labda ulaji wa makande na ugali.....
Na hii ndio sababu mwafrica akianzisha kitu chochote hafanikiwi kwa sababu ya mindset km iz

Mengi alikuwa kwenye mchakato wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza simu, mkaanzisha thread za kuiponda project hta kabla haijaanza

Mchawi wa mwafrica ni mwafrica mwenyewe
 
Kwa hyo maneno ya watu kuiponda project ndo yalimfanya ashindwe?! ...mwafrica uwezo mdogo tusijipambe ... Asili ya mwafrica ni uchawi , ushirikina, kutoa ndagu na kuvunja Nazi njia panda ....masuala ya kuumiza kichwa scientifically tuwaachie watu weupe ....
 
Hyo ndio project Tu mlishaanza kuponda

Hyo simu ingetoka mngeanza kuiponda kwa kuilinginisha na simu za ma master wenu
 
Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.

bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.

Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.

Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
Safi sana nirifikiri huyu kijana kapotea kabisa,maana muda mrefu sijamsikia,
Akituria aje bongo awezeshe vijana wengine,na awekeze bongo kwenye biashara Ili ajira zipatikane

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom