Wadau salaam,
Nina mpenzi nimekaa nae kwa miaka mitatu hivi. Nimetaka nimuoe lakini amemwambia dada yake anamwambia kuwa mimi ni mkubwa sana kwake kwa hiyo kwa umri huo nina familia nyingine. Kuwa nataka nimpige mimba nimkimbie.
Mimi nina miaka 35 Binti ana miaka 20. Amejaribu kuongea na mama yake na mama yake pia majibu ni hayo hayo. Kila akijaribu kuwambia kuwa nilikuwa shule hawaelewi badala yake wanamcheka kuwa anaenda kuolewa na mbaba mtu mzima.
Ukweli Binti ninampenda naye ananipenda ndio maana anapambania penzi lake lakini imefika hatua nimeshindwa nifanye nini. Kila wakiwa wanampigia simu ndugu zake hao (mama, dada) wanamcheka sana. Niko dilemma sana na Binti Yuko dilemma.
Naomba ushauri wadau