Ndugu za mpenzi wangu hawanitaki

Ndugu za mpenzi wangu hawanitaki

Ndoa bila baraka za wazazi sio poa,je ikitokea ume force kuwa nae alafu siku amepatwa tatizo utampeleka wapi
 
35 ni kijana kabisa wala sio mbaba mtu mzima, wewe muonekano wako ndio unaokuponza unaonekaje onekanaje?
Ninaonekana kama 25. Nilivyomwambia hata Binti alishangaa ikabidi nimuonyeshe passport ya kusafiria. Mpaka sasa anasema Bora angewambia Niko na 27 au 28 lakini aliwapa ID yangu
 
Ninaonekana kama 25. Nilivyomwambia hata Binti alishangaa ikabidi nimuonyeshe passport ya kusafiria. Mpaka sasa anasema Bora angewambia Niko na 27 au 28 lakini aliwapa ID yangu
Mtie Mimba watakukubari tu tia ya kwanza wakiendelea kukataa kamata binti tia mimba nyingine uone km hawajaitisha tuleteeni mjukuu wetu tumuone, watakubari ukitia ya pili wakatia ngumu tia mimba ya tatu hapo utakua umemaliza kila kitu utaozeshwa bure kabisa maana sasa binti atakua hana soko sokoni
 
Huwezi kumlala kabla ya kumuoa, kwa kauli hii inaonesha wewe ni mporipori haswaa and I guess wewe ni wale mnavaaga suruali la kitambaa na shati za vitenge chini unavaa safety boots
Hayo pia ni mapigo tu mbona inategemea wewe unayachukuliaje😀
 
Nilimaliza Chuo kikuu nikaanza kujitafuta. Alhamdulilah nilipo sio pabaya, nimeshanunua kiwanja cha sqr m 1600 na Niko najenga. Yeye nimekutana nae maana yeye alikuwa VETA. Siwezi kumlala kabla ya kumuoa
Jenga sio kununua tu kiwanja. Nunua na gari. Uoe.
 
Shida sio Mbaba ni Mbaba ambae hana helaaa🤣🤣🤣🤣 Ukiwa na hela hata ukiwa mbabu unaoaaa
 
Wadau salaam,

Nina mpenzi nimekaa nae kwa miaka mitatu hivi. Nimetaka nimuoe lakini amemwambia dada yake anamwambia kuwa mimi ni mkubwa sana kwake kwa hiyo kwa umri huo nina familia nyingine. Kuwa nataka nimpige mimba nimkimbie.

Mimi nina miaka 35 Binti ana miaka 20. Amejaribu kuongea na mama yake na mama yake pia majibu ni hayo hayo. Kila akijaribu kuwambia kuwa nilikuwa shule hawaelewi badala yake wanamcheka kuwa anaenda kuolewa na mbaba mtu mzima.

Ukweli Binti ninampenda naye ananipenda ndio maana anapambania penzi lake lakini imefika hatua nimeshindwa nifanye nini. Kila wakiwa wanampigia simu ndugu zake hao (mama, dada) wanamcheka sana. Niko dilemma sana na Binti Yuko dilemma.

Naomba ushauri wadau
Mkuu wewe ungesema una miaka 27, kwani huyo Dada mtu kashaolewa?
Kama hajaolewa basi anaona wivu
 
Wadau salaam,

Nina mpenzi nimekaa nae kwa miaka mitatu hivi. Nimetaka nimuoe lakini amemwambia dada yake anamwambia kuwa mimi ni mkubwa sana kwake kwa hiyo kwa umri huo nina familia nyingine. Kuwa nataka nimpige mimba nimkimbie.

Mimi nina miaka 35 Binti ana miaka 20. Amejaribu kuongea na mama yake na mama yake pia majibu ni hayo hayo. Kila akijaribu kuwambia kuwa nilikuwa shule hawaelewi badala yake wanamcheka kuwa anaenda kuolewa na mbaba mtu mzima.

Ukweli Binti ninampenda naye ananipenda ndio maana anapambania penzi lake lakini imefika hatua nimeshindwa nifanye nini. Kila wakiwa wanampigia simu ndugu zake hao (mama, dada) wanamcheka sana. Niko dilemma sana na Binti Yuko dilemma.

Naomba ushauri wadau
Tafuta ela kaka achana na mapenz ni kivuli Cha Giza huwezi jua hatma ya maisha yako ya kesho
 
Muoe km mnapendana lkn kuwa makin ukifika hamsini yeye ndio ana 35 hiyo Ngoma. Ngumu sana
 
Back
Top Bottom