Ndugu zako wanakusalimu

Ndugu zako wanakusalimu

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925
Una bahati sana, nilipita kijijini kwako, na ndugu zako wanakusalimu, niliwapiga picha, waone wanavyong'aa, nakuonea wivu jamani!


gview


gview


gview
gview
gview
gview
gview
gview
 
mkuu picha zako hazionekani jaribu kuziweka upya.nina hamu sana ya kuwaona hao ndugu zangu.
 
mkuu picha zako hazionekani jaribu kuziweka upya.nina hamu sana ya kuwaona hao ndugu zangu.

Au ni sipiyuu yangu ina shida?

Hazifunguki hizo picha ndugu.. Embu rekebisha.
Nina shangazi yangu huko, sijamwona kwa miaka 9, sasa sijui atakuwaje!
 
Nimepost nyingine (revised) fungua attachment ya powerpoint.
 
Back
Top Bottom